Makala nzuri lakini sijaona ni mahali gani pa kuthibitisha kwamba Ngeleja hahusiki na tatizo au kuonyesha kama yeye binafsi siyo tatizo.Ngeleja kukuta tatizo la Nishati kutoka katika serikali zilizopita siyo hoja, hoja ni kwamba kwa muda mrefu amekuwepo katika wizara hiyo kiasi cha kumfanya awe amefanya kitu fulani cha kuondoa/kupunguza tatizo. Kiufupi Ngeleja ndiye Waziri mwenye dhamana, na anatakiwa awoconvice Watanzania kwamba anafanya jambo na matunda yanaonekana, lakini so far kwa muda aliokaa katika hiyo wizara nyimbo ni zilezile kila siku na tatizo la umeme liko palepale.Wewe MKJJ umejaribu kuliona hilo tatizo, mbona hujiulizi kama Ngeleja kaliona?, Kama kaliona amefanya nini?, kama amefanya kitu mbona tatizo liko palepale?.So far Ngeleja Must go.