Wewe unajua kitu ganiπ€£π€£π€£π€£π€£Ujui kitu kaa kimyaa.
Nileteeni kimei!!!
Mtoa maada anatafuta lawama tuuKimei hana uwezo wa kuongoza REA..
Lawama za kipuuzi kabisa ππ. REA na kimei wapi na wapi ?Mtoa maada anatafuta lawama tuu
Una akili sana weweπ€£π€£π€£π€£Lawama za kipuuzi kabisa ππ. REA na kimei wapi na wapi ?
Lile jambo limekaa poa. Mwaka unaishi vizuri. Nipo natazamia maana kimwana yupo vizuri financial sijaona akinishobokea na hustle zangu.. huenda akawa ni yeye alafu sio mshamba na dunia hii.. ππππUna akili sana weweπ€£π€£π€£π€£
Lile jambo letu vipi lakini?? Mwaka unaisha bila bila???
Namfahamu vizuri,anachapa kazi sana huyo...Mwaka wenu huu wasukuma.
Kila la heri Kuhani Noah. Nimefurahi sanaπππLile jambo limekaa poa. Mwaka unaishi vizuri. Nipo natazamia maana kimwana yupo vizuri financial sijaona akinishobokea na hustle zangu.. huenda akawa ni yeye alafu sio mshamba na dunia hii.. ππππ
Aah! Ni Mkara!Kabila gani tuanzie hapo
Kuchapa kazi ndiyo jadi ya wasukuma ,wizi ndiyo jadi ya wachaga.Namfahamu vizuri,anachapa kazi sana huyo...
Wala hatujabisha mkuuUteuzi wake umezingatia sifa, uzoefu na weledi mkubwa alionao.
Mhandisi Amos Maganga kabla ya uteuzi alifanya kazi za Uhandisi na kupata uzoefu wa miaka 20.
Aidha amewahi hudumu kwenye nafasi mbalimbali kwa ufanisi mkubwa akiwa Tanesco
Tunaomba Watanzania Wazalendo tumpatie ushirikiano wa kutosha Mhandisi huyu mbobezi
Nadhani sasa Wachaga wote watimuliwe au vipi ?Kuchapa kazi ndiyo jadi ya wasukuma ,wizi ndiyo jadi ya wachaga.
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Malizia huyo msukuma..Namfahamu vizuri,anachapa kazi sana huyo...
Naona awamu hii wasukuma wanakusukumizia sana mpaka unaona wivuMalizia huyo msukuma..
Wenye zamu yaoUteuzi wake umezingatia sifa, uzoefu na weledi mkubwa alionao.
Mhandisi Amos Maganga kabla ya uteuzi alifanya kazi za Uhandisi na kupata uzoefu wa miaka 20.
Aidha amewahi hudumu kwenye nafasi mbalimbali kwa ufanisi mkubwa akiwa Tanesco
Tunaomba Watanzania Wazalendo tumpatie ushirikiano wa kutosha Mhandisi huyu mbobezi