Hata kama. Jamaa ni mzoefu na alikuwa anakaimu hii nafasi.Huyu Mhandisi anachapa sana kazi. Anastahili hii nafasi.🤣🤣🤣🤣🤣kwani uongo siyo mkoromije?
Hiyo Maganga pekee inaonyesha anatokea wapiAnatokea kanda pendwa !.
Kwa nini chuki namna hii? Relax.Katika matakataka yanayojifanya ni zaidi ya Magu ni haya yanayotokea Kanda ya ziwa. Hayafuati sheria ofisini mwao kisa eti yanafahamiana na magu au yanatokea Kanda ya washamba.
Ungeweka full cv kabisaUteuzi wake umezingatia sifa, uzoefu na weledi mkubwa alionao.
Mhandisi Amos Maganga kabla ya uteuzi alifanya kazi za Uhandisi na kupata uzoefu wa miaka 20.
Aidha amewahi hudumu kwenye nafasi mbalimbali kwa ufanisi mkubwa akiwa Tanesco
Tunaomba Watanzania Wazalendo tumpatie ushirikiano wa kutosha Mhandisi huyu mbobezi
Na wewe unaamini hivyo?PEng Mganga anastahili aisee ... ni miongoni mwa wahandis TANESCO niliwish siku moja mjomba amuone... hakika REA imepata mtu sahihi
Katika matakataka yanayojifanya ni zaidi ya Magu ni haya yanayotokea Kanda ya ziwa. Hayafuati sheria ofisini mwao kisa eti yanafahamiana na magu au yanatokea Kanda ya washamba.
Zamani tulijua kuwa ile kanda pekee ya Wa Tigray kuwa Ndio waliosoma hawa wote wasingeonekana.Anatokea kanda pendwa !.
Wewe utakuwa ni mtigray ama mana nyie eti mliendelea kabla ya mkoloniKatika matakataka yanayojifanya ni zaidi ya Magu ni haya yanayotokea Kanda ya ziwa. Hayafuati sheria ofisini mwao kisa eti yanafahamiana na magu au yanatokea Kanda ya washamba.
Muache hajui kuwa kanda ya Ziwa ndo nchi ya Tanzania ilipo. Yaani tukijitenga wengine watakuwa jamani.Kanda hio ya washamba kuna mikoa ifuatayo: Kagera, Mwanza, Mara, Simiyu, Geita na Shinyanga
Kwa kiduchu, nakukumbusha yafuatayo:
1. Muasisi wa Taifa hili aliyetujengea heshima Afrika na dunia nzima ni mzawa wa unayoiita Kanda ya washamba
2. Muasisi wa JF aliewezesha wewe kichwa maji kuandika upuuzi ni mzawa wa unayoiita Kanda ya washamba
Zamu yetu imeshapita mkuuPwani chief
Suala sio pwani ni uwezoPwani chief
Kama kawa. Siyo la kuuliza hiloAnatokea kanda pendwa !.
Sifa kubwa ni msukuma, watanzania tuamke tupaze sauti ukabila wa magu unatubomolea umoja wetu aliotuachia mwalimu jknUteuzi wake umezingatia sifa, uzoefu na weledi mkubwa alionao.
Mhandisi Amos Maganga kabla ya uteuzi alifanya kazi za Uhandisi na kupata uzoefu wa miaka 20.
Aidha amewahi hudumu kwenye nafasi mbalimbali kwa ufanisi mkubwa akiwa Tanesco
Tunaomba Watanzania Wazalendo tumpatie ushirikiano wa kutosha Mhandisi huyu mbobezi
Uwe na adabu.Katika matakataka yanayojifanya ni zaidi ya Magu ni haya yanayotokea Kanda ya ziwa. Hayafuati sheria ofisini mwao kisa eti yanafahamiana na magu au yanatokea Kanda ya washamba.
Tuombe samahani siyo wote tunafurahia huo u opuuziKatika matakataka yanayojifanya ni zaidi ya Magu ni haya yanayotokea Kanda ya ziwa. Hayafuati sheria ofisini mwao kisa eti yanafahamiana na magu au yanatokea Kanda ya washamba.
Huyo ni mgogoKabila gani tuanzie hapo
Kanda hio ya washamba kuna mikoa ifuatayo: Kagera, Mwanza, Mara, Simiyu, Geita na Shinyanga
Kwa kiduchu, nakukumbusha yafuatayo:
1. Muasisi wa Taifa hili aliyetujengea heshima Afrika na dunia nzima ni mzawa wa unayoiita Kanda ya washamba
2. Muasisi wa JF aliewezesha wewe kichwa maji kuandika upuuzi ni mzawa wa unayoiita Kanda ya washamba