bulicheka 4
JF-Expert Member
- Mar 22, 2020
- 915
- 1,020
Leo nimekuudua kumbe wewe mama boya huendi na beatKwani wewe ungependa Dr Kimei awe mkurugenzi wa REA? Au umejiskia tuu kutumia jina lake kuchochea chuki na kabila?
Mwacheni baba wa watu akahesabiwe pamoja wapiga kura wake๐๐๐
Ila ujue tuu kwamba Siwezi kuufikia uboya wako hata theluthiLeo nimekuudua kumbe wewe mama boya huendi na beat
Wivu tu.๐๐๐
Sukumaland, tutafika tu anakotaka tufikeUteuzi wake umezingatia sifa, uzoefu na weledi mkubwa alionao.
Mhandisi Amos Maganga kabla ya uteuzi alifanya kazi za Uhandisi na kupata uzoefu wa miaka 20.
Aidha amewahi hudumu kwenye nafasi mbalimbali kwa ufanisi mkubwa akiwa Tanesco
Tunaomba Watanzania Wazalendo tumpatie ushirikiano wa kutosha Mhandisi huyu mbobezi
Sema Manaswara ndiyo zaidi.Watu wa Bara Mola aliwaondolea kabisa Mshipa wa Aibu
Wagogo punguzeni mihemko, Wakati Hayati Baba wa Taifa aliposema, namnukuu, Ni Wakati wa kupanua mashamba lakini wagogo wakakaza kupanua masikio ๐Katika matakataka yanayojifanya ni zaidi ya Magu ni haya yanayotokea Kanda ya ziwa. Hayafuati sheria ofisini mwao kisa eti yanafahamiana na magu au yanatokea Kanda ya washamba.
Maganga (in sukuma) = madawa (in Swahili). Majina haya hupewa watu ambao kypatikana kwao kulitokana na jitihada ya kupata huduma toka kwa waganga wengi wa kienyeji (washirikina/wachawi). Aghalabu, na wao huwa ni watu wanaozingatia sana ushirikina.Hongera kwake Amos Maganga
Doctor = MgangaMaganga (in sukuma) = madawa (in Swahili). Majina haya hupewa watu ambao kypatikana kwao kulitokana na jitihada ya kupata huduma toka kwa waganga wengi wa kienyeji (washirikina/wachawi). Aghalabu, na wao huwa ni watu wanaozingatia sana ushirikina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sukumaism at Work!Anatokea kanda pendwa !.
Hii itakua ndo aina ya utawala na ndo utaona kila kabila linapambana mtu wake ashike madaraka.Sifa kubwa ni msukuma, watanzania tuamke tupaze sauti ukabila wa magu unatubomolea umoja wetu aliotuachia mwalimu jkn