Uteuzi: Amos Maganga ateuliwa Mkurugenzi Wakala wa Nishati Vijijini (REA)

Kwani hana sifa? Wasukuma siyo wakabila hilo nalikataa katakata,kama aliyewekwa ana sifa shida iko wapi? Kuna kabila moja liko kaskazini mmmh hao ni nyoka,yamejazana crdb,tra na not.ukienda udsm college- FIVE( zamani) yamejazana siyo kwa sifa Bali kubebana tu akili kichwani sifuri hawa jamaa hata kupeana marks poa tu ovyo kabisa
 
Siyo kweli maganga ni mkojo wa ng'ombe unaochanganywa kwenye maziwa.
 
Naona awamu hii wasukuma wanakusukumizia sana mpaka unaona wivu

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Hii nchi ndivyo ilivyo,
Enzi za Kikwete,kulikuwa na Hawa watu,
Grey Mgonja Katibu mkuu fedha.
Daniel Yona waziri fedha.
Akaja Pesambili Mlamba waziri fedha(awamu ya tatu).
Kipindi hicho,2000-2015,Shemeji zangu wa moshi walipiga pesa sio mchezo.
Sasa ni zamu ya Kanda ya ziwa kula,la kusikitisha,
Kuna watu wanapewa vyeo,lakini hawana weredi wowote,DPP ni kilaza tu,Mkurugenzi TCRA kilaza,Kabudi Kilaza,Katibu hazina Kilaza pia,
Mwisho wa siku hakuna tija yoyote,hata akijaza wasukuma sekta zote,Kama hawana spirit ya ujasiriamali,jamii yao itabaki maskini tu,Wachaga ni Kama wakikuyu,au wa Ibo wa nijeria,Hawa ni wayahudi weusi,hata ukiwaweka jangwani,wataona fulsa tu,na watengeneza pesa.
Hawashindwi kitu,tembea vituo vya mabasi uone jamii ambayo inasafiri sana kipindi hiki,sio wasukuma,sio wanyakyusa,ni chaga people,uwezi kuwaweka chini Hawa,hata ukiifunga biashara zao,wataibuka Tena tu,
 
Katika matakataka yanayojifanya ni zaidi ya Magu ni haya yanayotokea Kanda ya ziwa. Hayafuati sheria ofisini mwao kisa eti yanafahamiana na magu au yanatokea Kanda ya washamba.
Inaonekana wewe nimke wa mtu, na tabia yako ni ile ya nyuma sio mbele. Ujipenda kanda ya ziwa kuna wanaume tena wenye nguvu sana, mimba zitakutosha za hao takataka.
 
Katika matakataka yanayojifanya ni zaidi ya Magu ni haya yanayotokea Kanda ya ziwa. Hayafuati sheria ofisini mwao kisa eti yanafahamiana na magu au yanatokea Kanda ya washamba.
TAtizo huwa ni kuamini kwenu wameendelea na kwingine wako hovyo. Niambie Kanda gani haina washamba? Naomba nikuwahi kabla hujasema unatoka kaskazini. Sema unatokea wilaya za wachaga. Huko walikokanyaga mafuta ya Mnyakyusa hadi kifo.
 
Maelezo ya aina hii hayatoshi kuniaminisha kuwa ni mtu anayefaa. Uzoefu wa miaka 20 ni wa nini? HAwa ndo walikuwa wezi waliofuzu?
 
Well said. Nimekwenda Ubungo tangu saa 10 Gari zote zimejaa jumlisha na zinazotolewa Gereji. Ngoja nikaservice IST yangu nikahesabiwe Mimi na Familia. Wiki ya Rahaaa hiii ukiwa Home port na kikombe cha mbege na mbavu za mbuzi.
Halafu Mkenda katuasa kuitembelea Shule tulizosoma tukaone tutazifanyia nini
 
Atizo huwa ni kuamini kwenu wameendelea na kwingine wako hovyo. Niambie Kanda gani haina washamba? Naomba nikuwahi kabla hujasema unatoka kaskazini. Sema unatokea wilaya za wachaga. Huko walikokanyaga mafuta ya Mnyakyusa hadi kifo.
Ina maana kanda kaskazini haina washamba?
Mkuu mbona unaandika kwa hamaki sana hadi unakosa mwelekeo?
Hakuna eneo halina washamba, sema wewe unakurupuka mno!
 
Ni mtoto wa mzee Maganga tunayemsonaga kwenye vitabu!! Hongera kulamba uteuzi
 
Hapo sasa. Hakuna washamba kama hao
TAtizo huwa ni kuamini kwenu wameendelea na kwingine wako hovyo. Niambie Kanda gani haina washamba? Naomba nikuwahi kabla hujasema unatoka kaskazini. Sema unatokea wilaya za wachaga. Huko walikokanyaga mafuta ya Mnyakyusa hadi kifo.
 
Nina rafiki yangu ameanza mchakato wa kuwa badilisha watoto wake majina ambayo yanaonesha kabila..... Anataka yawe majina ya biblia kabisa ili mtu asijue ni kabila gani..... Nilipomuuliza akasema mbeleni anaona giza nene ndio maana ameamua kujihami mapema
 
Hii kwa sasa wanafanya wengi hasa watu wa......................................😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…