UTEUZI: Camilius Wambura ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI)

UTEUZI: Camilius Wambura ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI)

Ahmed Msangi wakati huo akiwa Oysterbay. Jamaa ni Mshenzi Sana huyu kwani alimfanyia unyama Sana Dr. Ulimboka.
Wengine tunaona ulimboka alipata alichostahili kupitia ule mgomo jiran yangu alifarik baada ya kukosa huduma, walimfanyia opereshen ya mfumo wa mkojo akatelekezwa wodin bila ya huduma endelevu mpaka alipofarik.
 
Hivi yule kamanda Ahmed Msangi yupo wapi?
Huwa kwao ni Arusha na mara nyingi huwa anaonekana maeneo ya Uzunguni city park akiwa na mijamaa zake group. juzijuzi alikuwa msemaji wa jeshi la Polisi
 
Huyu Wambura ndanu ya mwezi mmoja kapanda vyeo mara nne, katoka Dodoma kaenda Dar kuchukuwa nafasi ya mambosasa mara paap kawa DCI ndani ya wiki mbili duh, Zali zalini
Hakupanda cheo, ni alihamishwa tu
 
Dr Ulimboka hatamsahau maisha yake yote!

Hawa watu wanapokuwa kwenye nafasi wanajisahau na kusahau utu, kwamba kuna kesho na kesho kutwa! Siyo ajabu siku moja Ulimboka akamnunulia soda!
Uyu daktari yuko wapi
 
Dr Ulimboka hatamsahau maisha yake yote!

Hawa watu wanapokuwa kwenye nafasi wanajisahau na kusahau utu, kwamba kuna kesho na kesho kutwa! Siyo ajabu siku moja Ulimboka akamnunulia soda!
Sio kumnunulia soda tuu hata kumtibia ndugu yake au yeye mwenyewe kumbuka ULIMBOKA,NI DAKTARI
 
Tatizo SSH ameruhusu vimemo, baadhi ya majina yanapenyezwa ikija kufanyika proper vetting unakuta mtu hafai hiyo nafasi. SSH anahitaji kuwa mkali akiendelea kulegezea wapiga deal itakula kwake, haiwezekani kila siku kunakuwa na makosa kwenye uteuzi.
Sema marehemu alikua hana cha vetting kukataa wala nini. Akiamua kumteuwa mtu amtakaye hata ije ripoti kwamba sijui anamakandokando wala hageuki nyuma. Tena msipoangalia anaweza akaanza na hao wafanya vetting

Kwa mama kufanya teua tengua ndani ya muda mfupi mimi sichukulii kama ni udhaifu. Hiyo ni dalili kwamba kiongozi anasikiliza vyombo vyenye dhamana ya kumshauri. Kumbuka kua katiba imempa mkuu wa nchi mamlaka ya kuteua amtakaye bila kulazimika kufata ushauri wa mtu yoyote! Kwa muktadha huo hutokea wakati katika teuzi zake nyingi akapenya mtu ambaye hakustahili.

Kwa kiongozi ambaye hatawali ki imla hawezi kufanya ubabe akashikilia maamuzi yake hata baada ya kushauriwa na vyombo husika. Kwangu mimi hiyo ni STRENGTH kubwa sana ya Mh. Rais SSH
 
Screenshot_20210531-103809.png
 
Sema marehemu alikua hana cha vetting kukataa wala nini. Akiamua kumteuwa mtu amtakaye hata ije ripoti kwamba sijui anamakandokando wala hageuki nyuma. Tena msipoangalia anaweza akaanza na hao wafanya vetting....
Kwa nini asifuate huo ushauri kabla ya kutangaza, yaani unatangaza leo kesho unatengeua hata kabla ya kuapisha, huo ni udhaifu na kukosa umakini, what if ni mkataba mkubwa amesaini, si ingekuwa tayari hasara kwa taifa.
 
Back
Top Bottom