Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kuna wakati yakiwashwa hakuna namna!Umeanza lini kumendea mabwabwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati yakiwashwa hakuna namna!Umeanza lini kumendea mabwabwa?
31 May 2021
DCI mpya CP Camilius Wambura anaingia, aliyekuwepo amestaafu ? au amepangiwa kazi nyingine au labda kuwa balozi baadaye n.k
.................................................................
Toka maktaba :
28 Mar 2020
Dodoma, Tanzania
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCI Kamishna wa Polisi ROBERT BOAZ
20 May 2021
Dar - es-Salaam, Tanzania
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (katikati) akipokea baadhi ya nakala za vitabu vya mwongozo wa kuzuia na kufichua uhalifu katika Kata/Shehia kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Jamii wa Kampuni ya vinywaji ya Coca Cola, Salum Nassoro, ambapo jumla ya nakala 2000 zilichapishwa na kukabidhiwa kwa Jeshi hilo kupitia ufadhili wa kampuni hiyo ya vinywaji, kushoto anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCI Robert Boaz, hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es salaam. Picha na Jeshi la Polisi
Rais Magufuli amteua mkuu mpya wa jeshi la polisi Tanzania - BBC ...
28 May 2017 — ... Tanzania Dkt. John Magufuli, amemteua kamishina wa polisi Simon Sirro kuwa mkuu wa jeshi la polisi (IGP
24 Feb 2017 — Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) CP Robert Boaz Mikomangwa (kushoto) akila Kiapo cha uadilifu katika utumishi wa umma.
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Boaz Mikomangwa (kushoto) akila Kiapo cha Uadilifu kwa viongozi wa umma mbele ya Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Jaji Mstaafu Mhe. Harold Reginald Nsekela leo jijini Dar es Salaam
https://www.ippmedia.com › news
Top detective rejects Scotland Yard, FBI help in Lissu probe - IPP Media
18 Sept 2017 — Director of Criminal Investigations (DCI) Robert Boaz has ... in the Tanzania Police
Grade 12 Hastahili uteuzi wa RAS... wanaruhusiwa kwenye udiwani na ubunge. RAs ni CEO wa ofisi ya mkuu wa mkoa kama ilivyo kwa katibu mkuu wa wizara kuwa CEO wa wizaraKumbe Drs La 12 Hawapashwi Kupata Uteuzi?
Huyu lazima atolewe dsm. Angezuia shughuli za wakubwa kama wauza madawa ya kulevya na angemaliza ujambazi dsm. Hii ingeendeleza ukosefu wa pesa kwa wananchi ilhal mama anataka mifuko ya wananchi ijae manoti.
Kwa Mungu chochote kinawezekana.. Au mwana hata mjukuu wake akaja kuolewa nae..Dr Ulimboka hatamsahau maisha yake yote!
Hawa watu wanapokuwa kwenye nafasi wanajisahau na kusahau utu, kwamba kuna kesho na kesho kutwa! Siyo ajabu siku moja Ulimboka akamnunulia soda!
Kwahiyo Mambosasa alitolewa kijanja tu.... tumeelewa sasa.Kuna,uteuzi mwingine unakuja ZPC (ZONAL POLICE COMMENDER ) MA RPC KAENI MGUU SAWA
Huwa hawafanyi bahati mbaya, ni makusudi ili kukomoa. Hata mimi ningepewa hayo mamlaka ya kuteua na kutengua ningemteua bashite kuwa katibu mkuu kiongozi then masaa machache kabla ya kuapishwa namtengua nachagua mwingine. Kwani sh. Ngapi bana?Mwishowe hili litakuwa kero, kama sio tatizo kabisa!
Inaonyesha huko ndani hawana utulivu bado; sijui itawachukua muda gani waanze kuonekana kufanya mambo kwa uhakika.
Haya ni mapungufu makubwa yanayojirudia mara ya pili, ingekuwa ni mimi ningefagia hicho kitengo cha upekuzi chote waingie wapya ambao wapo makini na wenye uadilifu, wanaharibu legacy ya SSH na ataonekana hana umakini.Tatizo SSH ameruhusu vimemo, baadhi ya majina yanapenyezwa ikija kufanyika proper vetting unakuta mtu hafai hiyo nafasi. SSH anahitaji kuwa mkali akiendelea kulegezea wapiga deal itakula kwake, haiwezekani kila siku kunakuwa na makosa kwenye uteuzi.
Akimaliza aende kwa Makonda na genge lakeAanze na Bashite na Sabaya kuchunguza jinai zao.
Makonda ndio Bashite.Akimaliza aende kwa Makonda na genge lake
Natamani hii comment mama aione kwenye jalada. Well saidTatizo SSH ameruhusu vimemo, baadhi ya majina yanapenyezwa ikija kufanyika proper vetting unakuta mtu hafai hiyo nafasi. SSH anahitaji kuwa mkali akiendelea kulegezea wapiga deal itakula kwake, haiwezekani kila siku kunakuwa na makosa kwenye uteuzi.
AsanteAkimaliza aende kwa Makonda na genge lake
AsanteUkiingia nyumba ya kupanga hata ukute ina kila kitu lazima utataka kuiweka kwa ladha yako
yes au kwa kifupi DABMakonda ndio Bashite.
Good!Lakini ni Bora kutengua immediately kuliko kuacha MTU ambaye ni incompetent Kwa kuogopa tuu negative reaction ya watu wachache.
Inaonekana anawaamini sana wanaompelekea majina ya uteuzi. Inatakiwa sasa na yeye awe ana jiridhisha kwanza kwa njia nyingine. Asiendelee kutegemea njia moja tu.Anaharaka gani ya kuteua?
Kweli unateuaji form 4 kuwa RAS? Sitashangaa siku nikiona Msukuma au Kibajaji ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.Inaonekana anawaamini sana wanaompelekea majina ya uteuzi. Inatakiwa sasa na yeye awe ana jiridhisha kwanza kwa njia nyingine. Asiendelee kutegemea njia moja tu.
Kuna mijitu haina aibu kabisa kuchomeka majina ya wasiostahili ili wapate teuzi wakati hawana sifa stahiki. Au iñawezekana zikawa ni njama za kumharibia rais wetu ili ionekane hafai.