Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Wengine tunaona ulimboka alipata alichostahili kupitia ule mgomo jiran yangu alifarik baada ya kukosa huduma, walimfanyia opereshen ya mfumo wa mkojo akatelekezwa wodin bila ya huduma endelevu mpaka alipofarik.Ahmed Msangi wakati huo akiwa Oysterbay. Jamaa ni Mshenzi Sana huyu kwani alimfanyia unyama Sana Dr. Ulimboka.
Huwa kwao ni Arusha na mara nyingi huwa anaonekana maeneo ya Uzunguni city park akiwa na mijamaa zake group. juzijuzi alikuwa msemaji wa jeshi la PolisiHivi yule kamanda Ahmed Msangi yupo wapi?
Era yake imeshapita na mwendazake. Alikuwa RPC Mwanza akarudishwa headquarters kwenye kusoma magazeti; its overNgojeni sasa apewe uRPC dar 😂😂
Ova
Ziko mtaa gani hizo vyapati?Kwahiyo wambura dar kapita tu hajala hata chapati za mama Kimbo,,
Hakupanda cheo, ni alihamishwa tuHuyu Wambura ndanu ya mwezi mmoja kapanda vyeo mara nne, katoka Dodoma kaenda Dar kuchukuwa nafasi ya mambosasa mara paap kawa DCI ndani ya wiki mbili duh, Zali zalini
Uyu daktari yuko wapiDr Ulimboka hatamsahau maisha yake yote!
Hawa watu wanapokuwa kwenye nafasi wanajisahau na kusahau utu, kwamba kuna kesho na kesho kutwa! Siyo ajabu siku moja Ulimboka akamnunulia soda!
Sio kumnunulia soda tuu hata kumtibia ndugu yake au yeye mwenyewe kumbuka ULIMBOKA,NI DAKTARIDr Ulimboka hatamsahau maisha yake yote!
Hawa watu wanapokuwa kwenye nafasi wanajisahau na kusahau utu, kwamba kuna kesho na kesho kutwa! Siyo ajabu siku moja Ulimboka akamnunulia soda!
Umeanza lini kumendea mabwabwa?Vipi jombaa hulali unamuota mwanaume mwenzio.. Akikuletea shanga usirushe ngumi
DIWANI wa kitengo au.Mama ameamua kusafisha kila sehemu DIWANI NJE
Sema marehemu alikua hana cha vetting kukataa wala nini. Akiamua kumteuwa mtu amtakaye hata ije ripoti kwamba sijui anamakandokando wala hageuki nyuma. Tena msipoangalia anaweza akaanza na hao wafanya vettingTatizo SSH ameruhusu vimemo, baadhi ya majina yanapenyezwa ikija kufanyika proper vetting unakuta mtu hafai hiyo nafasi. SSH anahitaji kuwa mkali akiendelea kulegezea wapiga deal itakula kwake, haiwezekani kila siku kunakuwa na makosa kwenye uteuzi.
Kwa nini asifuate huo ushauri kabla ya kutangaza, yaani unatangaza leo kesho unatengeua hata kabla ya kuapisha, huo ni udhaifu na kukosa umakini, what if ni mkataba mkubwa amesaini, si ingekuwa tayari hasara kwa taifa.Sema marehemu alikua hana cha vetting kukataa wala nini. Akiamua kumteuwa mtu amtakaye hata ije ripoti kwamba sijui anamakandokando wala hageuki nyuma. Tena msipoangalia anaweza akaanza na hao wafanya vetting....
Mkuu funguka unamaanisha nini kusema "form anateuliwa kuwa RAS"Form anateuliwa kuwa RAS hii nchi ni zadi ya maajabu ya shetani
Sorry F4 mkuuMkuu funguka unamaanisha nini kusema "form anateuliwa kuwa RAS"
Duh nani kachukua? Diwani alikuwa na tuhuma za kutaka kupindishisha katibaMama ameamua kusafisha kila sehemu DIWANI NJE