UTEUZI: Camilius Wambura ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI)

Kuna,uteuzi mwingine unakuja ZPC (ZONAL POLICE COMMENDER ) MA RPC KAENI MGUU SAWA
 
Barua ipo incomplete hatujaelezwa DCI aliyekuwepo amekwenda wp!!??
 
Kumbe Drs La 12 Hawapashwi Kupata Uteuzi?
Grade 12 Hastahili uteuzi wa RAS... wanaruhusiwa kwenye udiwani na ubunge. RAs ni CEO wa ofisi ya mkuu wa mkoa kama ilivyo kwa katibu mkuu wa wizara kuwa CEO wa wizara
 
Dr Ulimboka hatamsahau maisha yake yote!

Hawa watu wanapokuwa kwenye nafasi wanajisahau na kusahau utu, kwamba kuna kesho na kesho kutwa! Siyo ajabu siku moja Ulimboka akamnunulia soda!
Kwa Mungu chochote kinawezekana.. Au mwana hata mjukuu wake akaja kuolewa nae..
 
Diwani Athuman alishindwa kuishi katika taaluma yake sijui wanafeli wapi hata kama ni maagizo darasani ulisomea kuagizwa au kujisimamia kwenye eneo lako
 
Mwishowe hili litakuwa kero, kama sio tatizo kabisa!

Inaonyesha huko ndani hawana utulivu bado; sijui itawachukua muda gani waanze kuonekana kufanya mambo kwa uhakika.
Huwa hawafanyi bahati mbaya, ni makusudi ili kukomoa. Hata mimi ningepewa hayo mamlaka ya kuteua na kutengua ningemteua bashite kuwa katibu mkuu kiongozi then masaa machache kabla ya kuapishwa namtengua nachagua mwingine. Kwani sh. Ngapi bana?
 
Tatizo SSH ameruhusu vimemo, baadhi ya majina yanapenyezwa ikija kufanyika proper vetting unakuta mtu hafai hiyo nafasi. SSH anahitaji kuwa mkali akiendelea kulegezea wapiga deal itakula kwake, haiwezekani kila siku kunakuwa na makosa kwenye uteuzi.
Haya ni mapungufu makubwa yanayojirudia mara ya pili, ingekuwa ni mimi ningefagia hicho kitengo cha upekuzi chote waingie wapya ambao wapo makini na wenye uadilifu, wanaharibu legacy ya SSH na ataonekana hana umakini.

Ninashauri awe na timu nyingine ndogo kabisa isiyo rasmi itakayopitia majina ya wateule ambao tayari wameshafanyiwa upekuzi ili kuhakiki zaidi. Uhakiki huu wa kuwahakiki wahakiki ufanywe kabla ya majina kutangazwa rasmi na siyo uhakiki wa wahakiki unafanyika baada ya tukio.

Pia SSH awe na wasifu wa kila mteule wa page moja au nusu page ambayo anaweza kuipitia kwa haraka sana bila kuathiri majukumu yake mengine.
 
Rais Mama SSH yuko makini. The guy"Wambura " is very good and smart katika utendaji wake.
 
Tatizo SSH ameruhusu vimemo, baadhi ya majina yanapenyezwa ikija kufanyika proper vetting unakuta mtu hafai hiyo nafasi. SSH anahitaji kuwa mkali akiendelea kulegezea wapiga deal itakula kwake, haiwezekani kila siku kunakuwa na makosa kwenye uteuzi.
Natamani hii comment mama aione kwenye jalada. Well said
 
Anaharaka gani ya kuteua?
Inaonekana anawaamini sana wanaompelekea majina ya uteuzi. Inatakiwa sasa na yeye awe ana jiridhisha kwanza kwa njia nyingine. Asiendelee kutegemea njia moja tu.

Kuna mijitu haina aibu kabisa kuchomeka majina ya wasiostahili ili wapate teuzi wakati hawana sifa stahiki. Au iñawezekana zikawa ni njama za kumharibia rais wetu ili ionekane hafai.
 
Kweli unateuaji form 4 kuwa RAS? Sitashangaa siku nikiona Msukuma au Kibajaji ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…