Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Aanze na Msigwa maana ndiyo mpotoshai namba 1Haya ni mapungufu makubwa yanayojirudia mara ya pili, ingekuwa ni mimi ningefagia hicho kitengo cha upekuzi chote waingie wapya ambao wapo makini na wenye uadilifu, wanaharibu legacy ya SSH na ataonekana hana umakini.
Ninashauri awe na timu nyingine ndogo kabisa isiyo rasmi itakayopitia majina ya wateule ambao tayari wameshafanyiwa upekuzi ili kuhakiki zaidi. Uhakiki huu wa kuwahakiki wahakiki ufanywe kabla ya majina kutangazwa rasmi na siyo uhakiki wa wahakiki unafanyika baada ya tukio.
Pia SSH awe na wasifu wa kila mteule wa page moja au nusu page ambayo anaweza kuipitia kwa haraka sana bila kuathiri majukumu yake mengine.
Weewee yukoo znz na cheooo kizurituMpigaji Sana yule yupo makao anasoma magazeti
Mbona baba yako Magu alipokuwa anateua makada wa chama kuwa ma das na maras hukulalamika?Mama anakurupuka sana. Na pale Ikulu bado hawajakaa sawa. Yaani mama anateua RAS mtu mwenye darasa la 12 kweli!!? Wanaomchomekea vimemo ndio wanampotosha mama. Inapaswa afanye individual vetting kabla ya kufanya uteuzi..
Sio kumnunulia soda tu mkuu itapendeza akimkuta Ulimboka kama daktari wa zamu siku akienda kupasua busha lake lile.Dr Ulimboka hatamsahau maisha yake yote!
Hawa watu wanapokuwa kwenye nafasi wanajisahau na kusahau utu, kwamba kuna kesho na kesho kutwa! Siyo ajabu siku moja Ulimboka akamnunulia soda!
Barua ipo incomplete hatujaelezwa DCI aliyekuwepo amekwenda wp!!??
Yule yupo zanzibarHivi yule kamanda Ahmed Msangi yupo wapi?
Hiyo ngazi ya uteuzi ni IGP anayeteuwa. Sisi tunasubiria teuzi za MamaKuna,uteuzi mwingine unakuja ZPC (ZONAL POLICE COMMENDER ) MA RPC KAENI MGUU SAWA
Mkuu nikutoe wasiwasi, humu nishawaambi, matusi kwangu ni maji ya kunywa, kuhusu ulaji mimi hata utawale wewe maisha yangu hayabadiliki. Unadhani kama vetting ipo vizuri hata wiki haija isha unabadili, kuwa rais unaeza kuwa na taarifa nyingi lakini zikawa Wrong, sababu kila mtu anainterest zake.Mpumbavu wewe, kwaiyo wewe una taarifa zaidi za watumishi kuliko Rais???mbona magufuli alikuwa anatengeua na kuteua kila uchao hamkusema?? Majungu gani ayo ambayo Rais kayapokea? au Kuna bwanaako kakosa ulaji ndio yanakutoka ayo dada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125]Huwa hawafanyi bahati mbaya, ni makusudi ili kukomoa. Hata mimi ningepewa hayo mamlaka ya kuteua na kutengua ningemteua bashite kuwa katibu mkuu kiongozi then masaa machache kabla ya kuapishwa namtengua nachagua mwingine. Kwani sh. Ngapi bana?
Aisee!Vipi jombaa hulali unamuota mwanaume mwenzio.. Akikuletea shanga usirushe ngumi
Wanaochaguliwa sasa sio makada etiMbona baba yako Magu alipokuwa anateua makada wa chama kuwa ma das na maras hukulalamika?
Mwacheni mama,msimpangie,kama ambavyo hamkumpangia Magu.
Huyu Nashicha nadhani amechanganya File. Itakuwa anatabiri tuDuh nani kachukua? Diwani alikuwa na tuhuma za kutaka kupindishisha katiba
Sent using Jamii Forums mobile app
"Incompetence" ni pamoja na kutokuwa makini kwenye uteuzi unaoishia kwenye "kutengua", au unaonaje mkuu 'kabulala'!Lakini ni Bora kutengua immediately kuliko kuacha MTU ambaye ni incompetent Kwa kuogopa tuu negative reaction ya watu wachache.
Hehe unachekesha huo mpangilio mpya kwani hao wanatoka sayari ya mars ,si ni hao hao wa kila siku, ni sawa tu na kubadili chapati kutoka upandewakwanza kwenda upande mwingine ukiona upande uliotangulia unaungua.Umeeleweka mkuu, kazi inaendelea kuweka mpangilio mpya.
Hii ni kuonesha kuwa Rais na watendaji wengine wa karibu yake HAWALALI kwa faida ya nchi yetu. Keep it up Rais na timu yako ya ushindi.Taarifa za uteuzi zinatoka usiku tena usiku wa kuamkia Jumapili
Sidhani kama atakubali kutibiwa na Dr Ulimboka, labda awe amepoteza fahamu, na ndugu zake wasimjue daktari!Sio kumnunulia soda tuu hata kumtibia ndugu yake au yeye mwenyewe kumbuka ULIMBOKA,NI DAKTARI
Hii sura kama naipata vile...Mkuu nikutoe wasiwasi, humu nishawaambi, matusi kwangu ni maji ya kunywa, kuhusu ulaji mimi hata utawale wewe maisha yangu hayabadiliki. Unadhani kama vetting ipo vizuri hata wiki haija isha unabadili, kuwa rais unaeza kuwa na taarifa nyingi lakini zikawa Wrong, sababu kila mtu anainterest zake.
Unakumbuka ya TPDC hata masaa 12 hatakufika.
Punguza hasira mkuu kama uliumia pole.
Lakini lazima tuwe na wasiwasi kwa nini baadhi ya teuzi mpya zina tenguliwa mda mfupi sana hata madhaifu na ubora wao kwenye nafasi hizo hawajaonesha.
Hii sura kama naipata vile...
4 May 2017Anaonekana alikuwa mbunge makini 2015-2020 kupitia viti maalum CCM
Na kwa nini proper vetting isifanyike kabla ya kutoa majina !!!??Tatizo SSH ameruhusu vimemo, baadhi ya majina yanapenyezwa ikija kufanyika proper vetting unakuta mtu hafai hiyo nafasi. SSH anahitaji kuwa mkali akiendelea kulegezea wapiga deal itakula kwake, haiwezekani kila siku kunakuwa na makosa kwenye uteuzi.