Tajiri la Bitcoin
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 1,139
- 707
Timu kali Sana hiiSafi samia , endelea kuweka sawa kambi ya kukubakiza madarakani
Uko sahihi kwani Chama ndio baba wa SerikaliHivi hawa huwa wana mamlaka kuzidi wakuu wa mikoa na wilaya kwenye maeneo yao?.
Maana nasikiaga zile kauli "chama kimeiagiza Serikali', ndivyo hivyo??
Kuwa na imani kila kitu kitakuwa sawa hii timu ni balaaIMF why? Pesa mmeleta mnawapa wasio na huruma wafanye wanavyotaka halafu iweje?
Mnakera
Hizi pesa watajilipa mishahara hakuna litakalofanyika
Huu ni upigaji mwingine
Wakati mwingine haya mashirika makubwa yanashiriki kukandamiza maskini
Kuna wakurugenzi kuna wakuu wa wilaya na mikoa why not them kufanya hili zoezi?
Africa inatumika
RIP Mwl Nyerere uliipenda Tz na Watu Wake
Wengine wote ni maiigizo
Watawala wa Africa huwa wanasahau duniani tupo kwa muda mchache sana mali tutaziacha
But Why Africa?
Hata sijasoma jina hata mojaTimu kali Sana hii
Wote wapo mkuu hadi mimiwafia chama mmewakumbuka safari hii ?
Kongole kwao na kila la heri ,aaamin aaaamin🙏👊😍Hongera crdes kwa kuteuliwa kwenu ni imani kubwa sana hiyo mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan,
===
Kachapeni kazi ili kutimiza matamanio na matarajio ya wananchi wetu hasa WanaCCM
===
Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri Kama chama kilivyoagiza kupitia katibu wetu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ili Uchaguzi wetu wa 2025 uwe rahisi zaidi ya ule wa mwaka 2020.
View attachment 2003143
View attachment 2003144
View attachment 2003146
View attachment 2003147
View attachment 2003149
View attachment 2003150
View attachment 2003151
View attachment 2003153
View attachment 2003154
View attachment 2003172
View attachment 2003174
View attachment 2003175
View attachment 2003176
Hawa jamaa ni watu makini sana MkuuKongole kwao na kila la heri ,aaamin aaaamin🙏👊😍
#Siempre JMT
#Kazi Iendelee Kwa Kasi & Weledi Zaidi 💪
safi, sasa mwambieni mwenyekiti wenu kwamba siasa huwa siyo vita bali ni nguvu za hoja.Hata sijasoma jina hata moja
Hakika CCM imesukwa, Mungu ibariki CCM,Hongera crdes kwa kuteuliwa kwenu ni imani kubwa sana hiyo mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan,
===
Kachapeni kazi ili kutimiza matamanio na matarajio ya wananchi wetu hasa WanaCCM
===
Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri Kama chama kilivyoagiza kupitia katibu wetu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ili Uchaguzi wetu wa 2025 uwe rahisi zaidi ya ule wa mwaka 2020.
View attachment 2003143
View attachment 2003144
View attachment 2003146
View attachment 2003147
View attachment 2003149
View attachment 2003150
View attachment 2003151
View attachment 2003153
View attachment 2003154
View attachment 2003172
View attachment 2003174
View attachment 2003175
View attachment 2003176
Wamekukumbuka lakini na wewe ?Ni jambo jema!
Haujajibu nao wanalipwa mishahara?Hawa jamaa ni watu makini sana Mkuu
Wanalipwa posho tu CCM ni kujitolea,Haujajibu nao wanalipwa mishahara?