UTEUZI: Chama cha Mapinduzi chateua Makatibu katika Mikoa 32 na Wilaya 168

UTEUZI: Chama cha Mapinduzi chateua Makatibu katika Mikoa 32 na Wilaya 168

Kiukweli ili tuione kiuhalisia kasi ya awamu ya 6 ilibidi Rais aingie na timu mpya kabisa ya viongozi wa kisiasa.

Hata wabunge tulipaswa kupata wa kuendana na kasi ya mama na siyo kasi ya mwendazake sema tu Katiba inawalinda.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hongera crdes kwa kuteuliwa kwenu ni imani kubwa sana hiyo mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan,
===
Kachapeni kazi ili kutimiza matamanio na matarajio ya wananchi wetu hasa WanaCCM
===
Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri Kama chama kilivyoagiza kupitia katibu wetu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ili Uchaguzi wetu wa 2025 uwe rahisi zaidi ya ule wa mwaka 2020.

View attachment 2003143

View attachment 2003144

View attachment 2003146

View attachment 2003147

View attachment 2003149

View attachment 2003150

View attachment 2003151

View attachment 2003153

View attachment 2003154

View attachment 2003172

View attachment 2003174

View attachment 2003175

View attachment 2003176

NASHUKURU NIMOOOO
 
Hawa jamaa ni watu makini sana Mkuu
Hakika.....

Imani yetu kuu ni wao kwenda kukisimamia chama na kuboresha mapungufu na changamoto za Kila uchao.......

Ubunifu wao kwa kukipeleka zaidi chama kwa vijana wadogo ndiko kutaacha alama kubwa kabisa.......

SIEMPRE JMT
SIEMPRE CCM
 
Naona comrades wengi wana majina ya kiarabu au ndio kusema chama kina wenyewe na wenyewe ni watu wa mtaa wa Gerezani na Kariakoo kwa alhadji Mohamed Said?
Upumbavu huo.....

Hivi ujinga utawatoka lini ?!!!!

Yaani mtu haangalii uwezo na hoja ya mtu bali ameitoa nani ?!!! Duuuh 😳😳😳🤣🤣

Hii inaitwa ARGUMENTUM AD HOMINEM na kamwe huikuti kwa mtu aliyepata ELIMU vyema...awe hata daktari ama Profesa....huwakuti hao....Ukikutana nao ujue ni makanjanja VICHWANI......🤣
 
Hongera crdes kwa kuteuliwa kwenu ni imani kubwa sana hiyo mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan,
===
Kachapeni kazi ili kutimiza matamanio na matarajio ya wananchi wetu hasa WanaCCM
===
Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri Kama chama kilivyoagiza kupitia katibu wetu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ili Uchaguzi wetu wa 2025 uwe rahisi zaidi ya ule wa mwaka 2020.

View attachment 2003143

View attachment 2003144

View attachment 2003146

View attachment 2003147

View attachment 2003149

View attachment 2003150

View attachment 2003151

View attachment 2003153

View attachment 2003154

View attachment 2003172

View attachment 2003174

View attachment 2003175

View attachment 2003176
😍
 
Komredi kwani wabunge wetu wanasuasua nyuma ya kasi ya El Comandante Samia Suluhu Hassan?!!!

Wewe huwaoni akina mh.Hallima Mdee wanaupiga mwingi huko bungeni?!!
 
Back
Top Bottom