Chura
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,385
- 2,402
Wanaunda tu timu za kupitishwa 2025 bila ajizi, Mungu awafanyie wepesi maana litakufa jitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaunda tu timu za kupitishwa 2025 bila ajizi, Mungu awafanyie wepesi maana litakufa jitu
Sio kweli, kuna dini moja kadiri wanavyosoma wanazidi kuwa wadiniUpumbavu huo.....
Hivi ujinga utawatoka lini ?!!!!
Yaani mtu haangalii uwezo na hoja ya mtu bali ameitoa nani ?!!! Duuuh 😳😳😳🤣🤣
Hii inaitwa ARGUMENTUM AD HOMINEM na kamwe huikuti kwa mtu aliyepata ELIMU vyema...awe hata daktari ama Profesa....huwakuti hao....Ukikutana nao ujue ni makanjanja VICHWANI......🤣
Hongera Sana TeamHongera crdes kwa kuteuliwa kwenu ni imani kubwa sana hiyo mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan,
===
Kachapeni kazi ili kutimiza matamanio na matarajio ya wananchi wetu hasa WanaCCM
===
Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri Kama chama kilivyoagiza kupitia katibu wetu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ili Uchaguzi wetu wa 2025 uwe rahisi zaidi ya ule wa mwaka 2020.
View attachment 2003143
View attachment 2003144
View attachment 2003146
View attachment 2003147
View attachment 2003149
View attachment 2003150
View attachment 2003151
View attachment 2003153
View attachment 2003154
View attachment 2003172
View attachment 2003174
View attachment 2003175
View attachment 2003176
Wanavyosoma nini?Sio kweli, kuna dini moja kadiri wanavyosoma wanazidi kuwa wadini
Hebu ionee aibu nafsi yako hata kidogo...hata kidogo tu japo uko na ID feki.....Wote ni siku ya Ijumaa
Wanavyosoma nini?
Wanavyosoma kitu gani wanazidi kuwa wadini ?!!!
Kwanza Kuna tofauti ya DINI na UDINI......
Duniani kuna dini nyingi ambazo zote zinaelekeza ubobezi wa imani husika....
Ninyi wanadini mnapenda sana kuongozwa na HISIA na kutetea "ulevi wenu"....nyote tu....na ndio maana WEWE utatoa kauli tofauti na atakayeitoa wa DINI nyingine.....
By the way DINI ni imani tu.....kwa kuwa ni imani isiyo "tangible" basi "waelewa" walioko ndani ya dini hizo na wale walioko nje wala hawasigani na kuwabagua wengine HADHARANI AMA KIFICHONI...
AMKENI KUTOKA ULEVINI na muwe watu wa imani kweli na dini zenu bila ya kuathiri hisia+ uhalisia walio nje yenu......
#Siempre JMT
Tunamjua mbona huyu chiefHebu ionee aibu nafsi yako hata kidogo...hata kidogo tu japo uko na ID feki.....
Tanzania haijaanza jana....na jukumu letu kuifanya INAENDELEA NA KUSTAWI VIZAZI BAADA YA VIZAZI.....
SIEMPRE JMT
NCHI KWANZAView attachment 2003473
Hawa jamaa ni watu makini sana Mkuu
Naona comrades wengi wana majina ya kiarabu au ndio kusema chama kina wenyewe na wenyewe ni watu wa mtaa wa Gerezani na Kariakoo kwa alhadji Mohamed Said?
Wakachape kazi tuAhsante Kwa taarifa na Kila la kheri zao...
Komredi hakuna kitu kibaya kama mtu kuandika HISIA+MIHEMKO binafsi dhidi ya UHALISIA.....baadhi ya watu hawataki UHALISIA wa hoja KUNTU.....ndio fikra zao zilipogoma+Umimi+Malezi duni yasiyofundisha CRITICAL ANALYSIS+ukosefu wa elimu bora.....Umeandika kitu kikubwa sana hapa aise
Huyo ni mmimi na mbinafsi...mbona kipindi kile ninauelezea vyema utawala wa awamu ya 5 hakuniambia maneno hayo?!!!Amemrithi @jingalao
Hongera kamati kuu,Hongera crdes wote kwa kuaminiwa na kuteuliwa kwenu hakika ni imani kubwa sana mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan kaitendeeni haki,
===
Nendeni kachapeni kazi ili kama Chama tuweze kutimiza matamanio na matarajio ya Wananchi wa Taifa hili,
===
Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri Kama chama kilivyokwisha agiza kamati zote za siasa ngazi ya Wilaya na mikoa kupitia kwa katibu wetu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ili Uchaguzi wetu wa 2025 uwe rahisi zaidi ya ule wa mwaka 2020.
===
√ Mungu ibariki CCM,
√ Mungu ibariki Tanzania,
√ Mungu Mbariki Mhe Samia Suluhu
Mkuu safi sanaHuyo ni mmimi na mbinafsi...mbona kipindi kile ninauelezea vyema utawala wa awamu ya 5 hakuniambia maneno hayo?!!!
Huyo ni ndugu yangu ila hana itikadi ya CHAMA na ustawi mwema wa taifa letu......
Wengi waliingia UVCCM kwa sababu ya mtu.....
Aweke ushahidi kuwa nilishawahi kuushambulia utawala wa awamu ya 5 kipindi kile na kipindi hiki kipya.....
SIEMPRE JMT
Safi sana chief napenda vile unatetea chamaKomredi hakuna kitu kibaya kama mtu kuandika HISIA+MIHEMKO binafsi dhidi ya UHALISIA.....baadhi ya watu hawataki UHALISIA wa hoja KUNTU.....ndio fikra zao zilipogoma+Umimi+Malezi duni yasiyofundisha CRITICAL ANALYSIS+ukosefu wa elimu bora.....
Ndio hivyo kamarade wangu🙏
SIEMPRE JMT
Naam komredi....kazi hii hatutoiacha mpaka tunakwenda kaburini....🙏Safi sana chief napenda vile unatetea chama