UTEUZI: Chama cha Mapinduzi chateua Makatibu katika Mikoa 32 na Wilaya 168

Naona comrades wengi wana majina ya kiarabu au ndio kusema chama kina wenyewe na wenyewe ni watu wa mtaa wa Gerezani na Kariakoo kwa alhadji Mohamed Said?
Kipindi kile mlijaza wasukuma tulieni
 
Wanavyosoma nini?
Wanavyosoma kitu gani wanazidi kuwa wadini ?!!!

Kwanza Kuna tofauti ya DINI na UDINI......

Duniani kuna dini nyingi ambazo zote zinaelekeza ubobezi wa imani husika....

Ninyi wanadini mnapenda sana kuongozwa na HISIA na kutetea "ulevi wenu"....nyote tu....na ndio maana WEWE utatoa kauli tofauti na atakayeitoa wa DINI nyingine.....

By the way DINI ni imani tu.....kwa kuwa ni imani isiyo "tangible" basi "waelewa" walioko ndani ya dini hizo na wale walioko nje wala hawasigani na kuwabagua wengine HADHARANI AMA KIFICHONI...

AMKENI KUTOKA ULEVINI na muwe watu wa imani kweli na dini zenu bila ya kuathiri hisia+ uhalisia walio nje yenu......

#Siempre JMT
Sijaelewa kitu lakini sawa
 
Hongera crdes wote kwa kuaminiwa na kuteuliwa kwenu hakika ni imani kubwa sana mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan kaitendeeni haki,
===
Nendeni kachapeni kazi ili kama Chama tuweze kutimiza matamanio na matarajio ya Wananchi wa Taifa hili,
===
Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri Kama chama kilivyokwisha agiza kamati zote za siasa ngazi ya Wilaya na mikoa kupitia kwa katibu wetu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ili Uchaguzi wetu wa 2025 uwe rahisi zaidi ya ule wa mwaka 2020.
===

โˆš Mungu ibariki CCM,
โˆš Mungu ibariki Tanzania,
โˆš Mungu Mbariki Mhe Samia Suluhu
wapambanaji
 
But hii ni siri za chama mkuu
Sawa Lkn inajulikana.Mfano miaka minne iliyopita niliwahi kusikia kuwa Makatibu wa CCM ngazi ya Wilaya wanalipwa Mshahara wa Tshs.800,000/=, Kwa mwezi, kipindi cha uchaguzi ndo huwa wanakula pesa balaa.
 
Imenyekwa na makatibu, kama hazijaishia kwenye midomo na matumbo yao sijui
 
Hongera crdes wote kwa kuaminiwa na kuteuliwa kwenu hakika ni imani kubwa sana mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan kaitendeeni haki,
===
Nendeni kachapeni kazi ili kama Chama tuweze kutimiza matamanio na matarajio ya Wananchi wa Taifa hili,
===
Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri Kama chama kilivyokwisha agiza kamati zote za siasa ngazi ya Wilaya na mikoa kupitia kwa katibu wetu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ili Uchaguzi wetu wa 2025 uwe rahisi zaidi ya ule wa mwaka 2020.
===

โˆš Mungu ibariki CCM,
โˆš Mungu ibariki Tanzania,
โˆš Mungu Mbariki Mhe Samia Suluhu
Kazi kazi
 
URAIS kwa KATIBA HII aliyoisema HAYATI BABA WA TAIFA kuwa ni MBOVU ni MTAMU SANA
 
Mama si ashasema atakuwepo kwa Debe anapanga safu na kuo doa ule uchafu wa mwendazake
 
Hongera crdes wote kwa kuaminiwa na kuteuliwa kwenu hakika ni imani kubwa sana mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan kaitendeeni haki,
===
Nendeni kachapeni kazi ili kama Chama tuweze kutimiza matamanio na matarajio ya Wananchi wa Taifa hili,
===
Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri Kama chama kilivyokwisha agiza kamati zote za siasa ngazi ya Wilaya na mikoa kupitia kwa katibu wetu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ili Uchaguzi wetu wa 2025 uwe rahisi zaidi ya ule wa mwaka 2020.
===

โˆš Mungu ibariki CCM,
โˆš Mungu ibariki Tanzania,
โˆš Mungu Mbariki Mhe Samia Suluhu
Hongereni
 
Back
Top Bottom