Palitokea figisu pale Ikulu ikabidi wahamishwe sema Jiwe akawapeleka sehemu nzuri. Ikulu ni sehemu kuna Figisu, Mizengwe na Roho mbaya sana kila mtu anataka awe yeye pale.Yes Ni Watu hawajui Kwamba Haniu Alikuwaga Mwandishi Wa Hotuba Wa Hayati, akiwa na Akina Bohoela(Sjui Kama nimeandika sahh Hilo Jina) Haniu akapelekwa AMG na Bohoela akapelekwa Mambo Ya Nje Kama Mkuu Wa Mawasiliano Mambo Ya Nje
Asante sana Baby. Nimeshakaribia🥰❤Karibu mpenzi wangu wa ukweli.
Hahahaaa ikikupendeza tuwekee chombezo tusome na sieSawa sawa kabisa. Kipindi cha Sefue kile na kile kipindi hakika walishibana sana ndio maana ikawa rahisi kumkabidhi media za ccm azisimamie na mpunga ulimwagwa mrefu kweli kweli pale ingekuwa ngumu sana mwendazake kumuweka mtu ambaye hamuamini na hayupo kwenye circle yake! Nina stori yake moja kuhusu kuachana na mkewe huwa inachekesha sana
Ahahaha inshallah!Hahahaaa ikikupendeza tuwekee chombezo tusome na sie
Alikua mtangazaji wa rtd au TBC kipindi Fulani,Sana tuTupeni CV yake. Binafsi ndo namfahamu leo.
Simsifii tu Mtu bila ya 'Kujiridhisha' nae.TRUE kabisa kwa watu wanaomjua Jafari hakuna ulichopindisha hapa.
Mwendazake hatarudi MATAGA mliwekeza kwa propaganda na kumtukuza mtu
Kwa hiyo Rais na serikali ni vitu/ mambo mawili tofauti kabisa?Urais ni taasisi kamili ina vyombo vyake na hata bendera yake.
Serikali nayo ni taasisi yenye vyombo vyake na hata bendera.
Ikulu Kuna bendera 2: ya rais na ya serikali.
Tena nafikiri imefika wakati sasa hoja zote zenye udini ziwe zinafutiliwa mbali. Mtu dini yake aibebe moyoni asituletee humu! Akihitaji kuhubiri dini aende zake Kanisani au Msikitini akahubirie waliokwenda kusikiliza wahubiri. HAPA SIYO MSIKITINI NA WALA SI KANISANI!Nilitegema hili litaibuka kwa watu wasio na hoja.
Nimekusoma mkuu. Uko sahihi kabisa.Zile trip za leo Dar, Kesho Zanzibar na keshokutwa Dodoma zimekwisha ..... Maisha ya Msigwa kwa nika 6 yalikuwa ni kulala 5 Star hotel tu!!
Kwa hiyo Rais na serikali ni vitu/ mambo mawili tofauti kabisa?
Bendera ya serikali ikoje na ya Rais ikoje?
Kwa hiyo Rais na serikali ni vitu/ mambo mawili tofauti kabisa?
Bendera ya rais ina rangi ya kijani na katikati ina ngao ya Taifa
Rangi ya k? 🤔Bendera ya rais ipo ina rangi ya k
Rangi ya k? 🤔
Kumbe bado Kigogo ana insidesAmteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
View attachment 1813333
Hata huyu hakuwepo ila amekuwepo kwa sasa!.Michuzi alikuwepo, Michuzi yupo
Hopeless! Ninyi ndio msiopenda watendaji mnawaonea gere. Sasa suala sio kutoweka tu sisi tunataka output basi. Sio huyu kayoweka ooh huyu kaletwa . Tunachotaka vigezo. Kumbe mlikuwa mnamuonea wivue eeh mwenye nyota ana nyota tu hata kama sio Ikulu!Bora Msingwa amefutika rasmi kwenye Ikulu yetu
Labda nyota ya anganiHopeless! Ninyi ndio msiopenda watendaji mnawaonea gere. Sasa suala sio kutoweka tu sisi tunataka output basi. Sio huyu kayoweka ooh huyu kaletwa . Tunachotaka vigezo. Kumbe mlikuwa mnamuonea wivue eeh mwenye nyota ana nyota tu hata kama sio Ikulu!
Toa sababu yenye maslahi kwa nchi!Bora Jafar Haniu kabisa kuliko Msigwa..