Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,904
- 3,006
Palitokea figisu pale Ikulu ikabidi wahamishwe sema Jiwe akawapeleka sehemu nzuri. Ikulu ni sehemu kuna Figisu, Mizengwe na Roho mbaya sana kila mtu anataka awe yeye pale.Yes Ni Watu hawajui Kwamba Haniu Alikuwaga Mwandishi Wa Hotuba Wa Hayati, akiwa na Akina Bohoela(Sjui Kama nimeandika sahh Hilo Jina) Haniu akapelekwa AMG na Bohoela akapelekwa Mambo Ya Nje Kama Mkuu Wa Mawasiliano Mambo Ya Nje