Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.

Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
SASA AJIANDAE AKASAIDIE TUJUE WALIOTAKA KUMUUA TUNDU LISSU NA WALIKOFICHA CCTV CAMERAS.
 
UKISOMA comments HUMU NDIO UTAJUA WATANZANIA WALIVYO WAONGO.

WENGI WAMEJAA CHUKI NA UKABILA.

WASUKUMA HAWATAKI KALEMANI ATOLEWE KANA KWAMBA UWAZIRI NI CHEO CHA KUDUMU.

WASIOMPENDA JK WANATUMIA KUTEULIWA KWA JANUARY KUMTUKANA MZEE WA WATU.

tuendelee kusoma comments.
 
Tupa kule team MAGUFULI, ingiza team JM KIKWETE.

January Makamba Waziri wa Nishati?
Mimi huwa sielewi kabisa msingi wa hizi team mnazojaribu kuzitilia mkazo, kwamba team Magufuli na team Kikwete ?
 
Naunga mkono hoja Mkuu gaidi Mwigulu Nchemba na muongo Majaliwa kuendelea kuwemo kwenye cabinet ni janga kubwa la Kitaifa.
As long as Mwigulu bado yupo kwenye Baraza, naweza kusema hii haitoshi.

Halafu hawa kina Makamba ndio watu pekee wa kuwa Mawaziri? Ni kweli wanawazidi wenzao uwezo au ni influence tu za wazazi wao ndio zinawafanya wapate kipaumbele?

Kama si hivyo, basi ni wazi CCM kuna ombwe kubwa la watu wanaofaa kuwa viongozi katika hii nchi.

Watanzania tuendelee kudai Katiba mpya tupate watu wapya kuongoza hii nchi kwani hata hawa walioenguliwa bado kesho wanaweza kurudi tena katika Baraza la Mawaziri.

Chama kilekile, watu walewale (wanaachiana tu viti) na matokeo yake maisha ya watanzania yanabaki kuwa yale yale miaka nenda, miaka rudi.

Pathetic!
 
Sawa, team Magufuli ya the Chamurilos, Kalemanis, Nduguliles, Kilagis mpo!

Mbona mama timu magufuli. Mkuuu JPM Ni marehemu. Rais wetu Ni mama Samia. Kadiri mnavyopenda kuongea kuhusu JPM, Ndivyo mnavyozidi kuonyesha ukubwa Wake. Je. Timu ya kikwete na mkapa na mwinyi Ni ipi? Samia na mwinyi kama ndo kijiti kupeana wamepewa na JPM. Jifunzeni kumove on. Muwe consistency hata kwa ujinga wenu.

Nakumbuka JPM alivyomtumbua mbunge wa Kigamboni, alishambuliwa na hata kwenye Kugombea ubunge kigamboni, watu mliingia moyoni mwa JPM. Mkasema mwanaye Makonda lazima apite! Mkasahau kuwa Makonda cheo chake cha ukuu wa Wilaya alipewa na JMK. Na Hata bunge la katiba aliingia na kina mama Samia. Rais wetu mpendwa wa Sasa. Huwa mnamjua sana JPM hata uko kaburini bado mnadownload mind yake.

Hawa wanasiasa tofauti Yao ndogo sana. Vijana fanyeni kazi. Nani Kawa waziri wakati wewe sio Katibu wa wizara hizo haikusaidii lolote. Huwa mnajifariji sana kwa matatizo ya wengine. Ni Alama ya kufell na kuchanganyikiwa. Jaribuni kuishi maisha yenu. Solange uwaziri Ni kuteuliwa. Kila kitu Ni possible. Love and live your life.
 
Hapa sasa nimeanza kuelewa. Kweli JK is roading
 
Hakuna uchanya wowote hapo Angemtoa hata Waziri wa fedha na afya ameogopa bit la washauri kwamba asitikise sana
 
Ni Uteuzi wa Kimkakati zaidi na bahati nzuri wote walioteuliwa ni Watu makini na wachapakazi pia kwani hata Rekodi zao za Kiutendaji hapo kabla zinajieleza na Kuridhisha.

Kurejeshwa kwa Mbarawa nimefurahi na pia kuihamishia Idara ya Maelezo katika Wizara ya Bibie Ashantu ni Jambo jema kabisa.

Kuondolewa kwa Kalemani ni Uthibitisho rasmi kuwa sasa Mabaki ya Hayati Rais Dkt. Magufuli na yaliyokuwa hayagusu yameshaondolewa na hata Kuvunjwa nguvu ya Kiushawishi ndani ya CCM na Serikali.

Uwaziri wa Dkt. Tax kwa hiyo Wizara Muhimu Kiulinzi na Kiusalama nchini ni Heshima kwa Wanawake na Imani Kubwa Kwao ila kama sijakosea nadhani ndiyo mara ya Kwanza mwa Mwanamke kuteuliwa hapo.

Wote waliotenguliwa walikuwa dhaifu.
 
Back
Top Bottom