MASHANJARA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 379
- 500
SASA AJIANDAE AKASAIDIE TUJUE WALIOTAKA KUMUUA TUNDU LISSU NA WALIKOFICHA CCTV CAMERAS.Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.
Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
Unafurahiii,hlf mhe.Rais akzngua mnasema anashauriwa vbya!!,BONGO NYOSSO,BONGO BALAASawa, team Magufuli ya the Chamurilos, Kalemanis, Nduguliles, Kilagis mpo!
Mkuu anaeletwa ndo atafanya nn au ilimladi mabadiliko?? Toka ameanza kazi yy Ni kuteua na kutengua Kwan kazi zingine hakuna?? Kunajambo haliko vzr kwa mama...Sasa Ndungulile amefanya nini kwenye hiyo wizara?
Next Katibu Mkuu CCMBado Nape, naye akae mkao wa kula.. Muda wao huu sasa, kutesa kwa zamu.
Hahahaha hao ni marafikiMama kapoteza fursa nyingine nzuri ya kufanya mabadiliko kwenye Wizara ya Afya.
Mimi huwa sielewi kabisa msingi wa hizi team mnazojaribu kuzitilia mkazo, kwamba team Magufuli na team Kikwete ?Tupa kule team MAGUFULI, ingiza team JM KIKWETE.
January Makamba Waziri wa Nishati?
Lipi hilo?Nilijua kwa Kalemani....huo mchezo wao walioufanya umemkost.. Bado Majaliwa maana nae ana mkono katika hili
As long as Mwigulu bado yupo kwenye Baraza, naweza kusema hii haitoshi.
Halafu hawa kina Makamba ndio watu pekee wa kuwa Mawaziri? Ni kweli wanawazidi wenzao uwezo au ni influence tu za wazazi wao ndio zinawafanya wapate kipaumbele?
Kama si hivyo, basi ni wazi CCM kuna ombwe kubwa la watu wanaofaa kuwa viongozi katika hii nchi.
Watanzania tuendelee kudai Katiba mpya tupate watu wapya kuongoza hii nchi kwani hata hawa walioenguliwa bado kesho wanaweza kurudi tena katika Baraza la Mawaziri.
Chama kilekile, watu walewale (wanaachiana tu viti) na matokeo yake maisha ya watanzania yanabaki kuwa yale yale miaka nenda, miaka rudi.
Pathetic!
Sawa, team Magufuli ya the Chamurilos, Kalemanis, Nduguliles, Kilagis mpo!
Wanajeshi huwa ni wa kimfumo dume.....Yule mama na ulinzi wapi na wapi.
Kalemani kakosea nini?...Hapo Mimi sijaelewa kwa kweli.
Ni Uteuzi wa Kimkakati zaidi na bahati nzuri wote walioteuliwa ni Watu makini na wachapakazi pia kwani hata Rekodi zao za Kiutendaji hapo kabla zinajieleza na Kuridhisha.
Huyu kwa ujenzi kapatia sanaa...