Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wizara zote nyeti wamepewa wanawake, afya ,ulinzi,tamisemi, elimu,[emoji18][emoji18]mwigulu namshauri aachie wizara ya fedha mapema[emoji33][emoji33]
Tukianza tena umeme wa mgao lazima kuna atakayewajibu watanzania nini kinaendeleaNdungilile alikuwa hana uwezo wa kuongoza ile wizara, ilishmshinda, chamuriho huyo ndo kabsa kati ya mawaziri ambao hawafahamik kabsa huyu ndo wa kwanza, ujenzi kunahekaheka ye yupo tu..kalleman timu Chato imemtoa pale..AG huyu hpana kwa kweli mama umefanya vizuri,
REA mkuu. Narudia tena REAKalemani kakosea nini?...Hapo Mimi sijaelewa kwa kweli.
Jiongeze asee mkuuGharama zipi zinawatofautisha?
Kwann kachemshaUlinzi kachemsha
Makamba ni mara yake ya kwanza hii kuwa Waziri?Mkuu tunajadili bila kutukana, Kama hauni tunavyoyumba fumba macho kidg, halafu fumbua utaelewa... Yaan unaona sa iv kila siku teuzi teuzi hakuna la maana sa makamba nae wazir jamani hii nchi inavituko vikuu
Kama unadhani Urais ni simple hivyo,nenda kamuulize Lowassa.Pongezi kwa Makamba rais ajaye
Weekend njema wapendwa.Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo
- Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa
- Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Faustine Ndugulile ambae uteuzi wake umetenguliwa
- January Makamba anachukua nafasi ya Merdard Kalemani wizara ya Nishati
- Makame Mbarawa anachukua nafasi ya Chamuriho wizara ya ujenzi na uchukuzi
- Dkt. Feleshi anachukua nafasi ya Kilangi kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali
View attachment 1935268
View attachment 1935270
General, ulimwengu alisema Kuna uwezekano Yale ya guinea yanafika EA, ukwel mama anaupinga mwingiiiiiiiiii...Ha ha ; hakuna cha kuchange mzee whether kuna jambo lipo sawa au lah : kubalini tu hadi 2025. Na mkikaa vibaya anaendelea au atamkabidhi mwinyi.
Mwinyi anakuja kuwapigisha kwato. Nchi inatema cheche ...... checheee. Mtaishia ku comment tu but mambo ndiyo yapo hivo Fire Fire [emoji91].
Makanja wameshaanza kusogea jikoni na wote watakuja jikoni ni suala la muda tu.
Komboeni nchi yenu; acheni kupoteza poteza muda kwa social media ; fanyeni maamuzi sahihi.
Hopefully unayajua maamuzi sahihi ni yapi.
Mzee wa Msoga, from a disant ..... Mzee yule kwake ana Warehouse kabjsa Ina USD kama bank; yaani humo ndani unaingia Na Forklifts hatari sana.
Mama ni Ubavu wa Mzee wa Msoga. Hawezi kupindua chochote hata akitaka kupindua.
Mama anaupiga mwingi safi sana
Aliyepambana sana na umeme wa vijijini ni Muhongo!! Usema ovyo wa Muhongo ulisaidia sana, kwa sababu wakati hili zoezi linaanza watu walishaanza habari za kulipwa sehemu zitakopita nguzo! Muhongo kama kawaida yake, akasema "halipwi mtu", na tukiona kijiji kinaleta mambo ya kutaka kulipwa, tunawaruka, tunaenda kule wanakohitaji umeme. Hili Muhongo sitamsahau hata chembe kwa sababu nakumbuka Bush kwetu tulitaka kuwekewa umeme mwaka 1995, lakini ikashindikana baada ya kijiji cha kabla yetu watu wake kugoma kukatwa miti yao (wanafanya sana kilimo cha miti) hadi walipwe! Zoezi likaishia hapo, tukaja kupata 2015.Kalemani amepambana sana umeme vijijini
Kuna Uzi upo humu ulitabir haya makamba atachukua nafasi kipindi ile ya mifumo ya luku kusimama
ngoja tusubiriGaidi Mwigulu Nchemba na muongo Majaliwa ni lazima wapigwe chini.
Na nani?Gaidi Mwigulu Nchemba na muongo Majaliwa ni lazima wapigwe chini.
Kupanda gesi na mafutaMbona Kalemani alikuwa waziri mzuri sana au ndio Ufalme wa Mwenda zake unazidi kupukutishwa kwanza