MASHANJARA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 379
- 500
NI SAHIHI ANATOKA MAGU NA INWEZEKANA NI HALFCAST AU MSUKUMA AU MCHATO LAKINI HAINGII KWA KIGEZO HICHO WALA WALIOTOKA NA WATAKAOTOKA HIVYO SIO VIGEZO VYA UWAZIRI. HUYU MAMA ANA UWEZO NA TRACK RECORD INAMBEMA MTANZANIA HUYU. HONGERA MAMA TAX.Mind you Mama Tax katokea Magu,kanda ya Ziwa[emoji2]
Kamfufue dhalimu mwendakuzimu uje usaidiane naye kufanya coup d'etat ili tuwanyooshe vizuriGeneral, ulimwengu alisema Kuna uwezekano Yale ya guinea yanafika EA, ukwel mama anaupinga mwingiiiiiiiiii...
Hamchoki tu kumuwaza JPM kima nyie ??!,alafu dhalimu baba yako ,,ipo siku na wewe utakufa tu!Ha ha haaa, unasemaje? Unamuongelea yule dhalimu mwendakuzimu aliyenyakuliwa na corona au mwingine? Huko jehanum aliko atakuwa anateseka kuliko mateso aliyokuwa akiyapata majukwaani kwa kupiga pushups huku moyo wake ukilalamika.
Jamani tuache utani, iko siku tutadumisha kumbukumbu ya Watanzania wote waliopotea kwa maagizo yake, shetani wahed. Tutapiga hesabu ya hela zote ((kodi zetu) alizotafuna katika kipindi chake na hiyo namba si ajabu ikaamsha hata mizimu inakopumzika!
Tatizo unajifanya unajua kila kitu..!Nikusaidieje sasa!
Mkuu, sisi sote tutakufa tu.Ha ha haaa, unasemaje? Unamuongelea yule dhalimu mwendakuzimu aliyenyakuliwa na corona au mwingine? Huko jehanum aliko atakuwa anateseka kuliko mateso aliyokuwa akiyapata majukwaani kwa kupiga pushups huku moyo wake ukilalamika.
Jamani tuache utani, iko siku tutadumisha kumbukumbu ya Watanzania wote waliopotea kwa maagizo yake, shetani wahed. Tutapiga hesabu ya hela zote ((kodi zetu) alizotafuna katika kipindi chake na hiyo namba si ajabu ikaamsha hata mizimu inakopumzika!
Kama unadhani mambo huwa ni mepesi kiasi hicho kwenye mbio za Urais, muulize Lowassa.Ni ramli tu kama tabiri zingine
Nothing serious
Mambo yakitaasisi hayaendeshwi kwa mawazo ya mtu mmoja,mradi wa mwalimu nyerere una cheo kikubwa kuliko waziri wa nishati na kamwe hauwezi kuuwawa na waziri mwenye dhamana,think!Nauona mradi wa mwalim nyerere unaenda kufa makamba alikua anaupinga sana ule mradi akiwa waziri wa mazingira
Mbona hata yeye alikuwa hachoki kuwasema vibaya watangulizi wake,?Hamchoki tu kumuwaza JPM kima nyie ??!,alafu dhalimu baba yako ,,ipo siku na wewe utakufa tu!
Mchezo gani mkuu?Nilijua kwa Kalemani. Huo mchezo wao walioufanya umemkost. Bado Majaliwa maana nae ana mkono katika hili
Mzee Kikwete ilikuwa inatabirikaSio kirahisi hivyo mkuu, nadhani yeye atakuja mbeleni sana huko(kama ataendelea kuwa hai). Mkuu kupitishwa kugombea Urais si kitu unachoweza kukitabiri kizembe hivyo, Miaka yote wagombea urais wa CCM huwa ni wale wasiotarajiwa kabisa, kuanzia kwa Mwinyi mpaka kwa Magufuli.
Ameshakufa sasa ,mbona mnamuwaza sana! ,pambaneni na waliopo kima nyie!Mbona hata yeye alikuwa hachoki kuwasema vibaya watangulizi wake,?
Kama yeye alikuwa anaona fahari kuwasema wengine acha na yeye asemwe
Malipo ni hapa hapa
kwa upande wangu kama kweli kuna hivi vita na vitaendelea labda kama mmoja akubali kupoteza ila vinginevyo ipo siku vitakuwa na madhara makubwa kwa taifa na vita halisi vya kuligawa taifa letu na hata kwa kumwaga damu vikatokea utakuwa mwisho wa amani yetu si ajabu tukawa kama kongoMaybe the coastal region is regaining back the power! The game of survival of the fittest has started afressh..!
Kule Lameck huku February.. ! Dogo wa Kisimayo na yule Mnyankole bado wanasikilizia ... Maybe tomorrow anything can happen![emoji23]
Pwani wamepiga mbili bila.. Ni bao la kisigino lakini the fight is on! The gang vs the coastal! Piga nikupige... Mwenye kisu kikali ndio mla nyama! Mwenye kisu butu akinoe!
Maybe our mom is gaining grounds! Better be before its too late..! The gang is always sleepless! The struggle is on!
[emoji23]View attachment 1935396
Panya ni panya hata aishi mweziniMakamba amekaa Jukwaani muda mrefu. Nafikiri ameusoma mchezo. Ko tutegemee pengine atakuja na matokeo chanya
Hapana kwenye niniKunatatizo kwenye taasisi ya uRais, na nnavyo ona kwa Sasa Kama si kushauliwa vibaya Basi makusudi, hiv kwa nn hajari?? Au kwa kuwa agenda kwake ni priority?? Hv hatuna mtu, au watu wa kusema hapana?? Naonza kuona utabil wa g.world unatimia..
Ndio kinachotokea nchi yetu imeshauzwaWizara za upigaji ni nishati na wizara ya madini muda wa kina singa singa kurudi waanze kuchota mapesa ya watanganyika
Kuna hard working na smart working hapo mama kachagua smart workingKwa Kalemani mama kapotea huyo jamaa kapiga sana kazi.
Sis tunataka bwana matozo atolewe hatumtaki
Haiwezekani kvp. Ujerumani maji bure ila wewe utasrma maji bure haiwezekaniKalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.
Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
sioni kama Kalemani ndo mleta matatizi. serikali ya tz bado haina uwez mkubwa wa kifedha...hii wizara ilidondoka na Lowasa na wengine wengi. Ni wizara tata sana na kubwa sana.Arudi
Kalemani ameenda labda mambo yatakaa sawa
Kwani una teseka na comment yangu kijana wa madrasaKavae na wewe ule teuzi.
We endelea kuvaa shati za vitenge batiki na suruali za vitambaa tu.
Teuzi utaziskia kwenye bomba.
Jamaa huyo ni kigeugeu. Namjua.Wewe sindo ulikuwa unasema mama anaendeshwa ???