Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Mind you Mama Tax katokea Magu,kanda ya Ziwa[emoji2]
NI SAHIHI ANATOKA MAGU NA INWEZEKANA NI HALFCAST AU MSUKUMA AU MCHATO LAKINI HAINGII KWA KIGEZO HICHO WALA WALIOTOKA NA WATAKAOTOKA HIVYO SIO VIGEZO VYA UWAZIRI. HUYU MAMA ANA UWEZO NA TRACK RECORD INAMBEMA MTANZANIA HUYU. HONGERA MAMA TAX.
 
Ha ha haaa, unasemaje? Unamuongelea yule dhalimu mwendakuzimu aliyenyakuliwa na corona au mwingine? Huko jehanum aliko atakuwa anateseka kuliko mateso aliyokuwa akiyapata majukwaani kwa kupiga pushups huku moyo wake ukilalamika.

Jamani tuache utani, iko siku tutadumisha kumbukumbu ya Watanzania wote waliopotea kwa maagizo yake, shetani wahed. Tutapiga hesabu ya hela zote ((kodi zetu) alizotafuna katika kipindi chake na hiyo namba si ajabu ikaamsha hata mizimu inakopumzika!
Hamchoki tu kumuwaza JPM kima nyie ??!,alafu dhalimu baba yako ,,ipo siku na wewe utakufa tu!
 
Ha ha haaa, unasemaje? Unamuongelea yule dhalimu mwendakuzimu aliyenyakuliwa na corona au mwingine? Huko jehanum aliko atakuwa anateseka kuliko mateso aliyokuwa akiyapata majukwaani kwa kupiga pushups huku moyo wake ukilalamika.

Jamani tuache utani, iko siku tutadumisha kumbukumbu ya Watanzania wote waliopotea kwa maagizo yake, shetani wahed. Tutapiga hesabu ya hela zote ((kodi zetu) alizotafuna katika kipindi chake na hiyo namba si ajabu ikaamsha hata mizimu inakopumzika!
Mkuu, sisi sote tutakufa tu.
 
Nauona mradi wa mwalim nyerere unaenda kufa makamba alikua anaupinga sana ule mradi akiwa waziri wa mazingira
Mambo yakitaasisi hayaendeshwi kwa mawazo ya mtu mmoja,mradi wa mwalimu nyerere una cheo kikubwa kuliko waziri wa nishati na kamwe hauwezi kuuwawa na waziri mwenye dhamana,think!
 
Sio kirahisi hivyo mkuu, nadhani yeye atakuja mbeleni sana huko(kama ataendelea kuwa hai). Mkuu kupitishwa kugombea Urais si kitu unachoweza kukitabiri kizembe hivyo, Miaka yote wagombea urais wa CCM huwa ni wale wasiotarajiwa kabisa, kuanzia kwa Mwinyi mpaka kwa Magufuli.
Mzee Kikwete ilikuwa inatabirika
 
Mbona hata yeye alikuwa hachoki kuwasema vibaya watangulizi wake,?

Kama yeye alikuwa anaona fahari kuwasema wengine acha na yeye asemwe

Malipo ni hapa hapa
Ameshakufa sasa ,mbona mnamuwaza sana! ,pambaneni na waliopo kima nyie!
 
Maybe the coastal region is regaining back the power! The game of survival of the fittest has started afressh..!
Kule Lameck huku February.. ! Dogo wa Kisimayo na yule Mnyankole bado wanasikilizia ... Maybe tomorrow anything can happen![emoji23]

Pwani wamepiga mbili bila.. Ni bao la kisigino lakini the fight is on! The gang vs the coastal! Piga nikupige... Mwenye kisu kikali ndio mla nyama! Mwenye kisu butu akinoe!
Maybe our mom is gaining grounds! Better be before its too late..! The gang is always sleepless! The struggle is on!
[emoji23]View attachment 1935396
kwa upande wangu kama kweli kuna hivi vita na vitaendelea labda kama mmoja akubali kupoteza ila vinginevyo ipo siku vitakuwa na madhara makubwa kwa taifa na vita halisi vya kuligawa taifa letu na hata kwa kumwaga damu vikatokea utakuwa mwisho wa amani yetu si ajabu tukawa kama kongo
 
Kunatatizo kwenye taasisi ya uRais, na nnavyo ona kwa Sasa Kama si kushauliwa vibaya Basi makusudi, hiv kwa nn hajari?? Au kwa kuwa agenda kwake ni priority?? Hv hatuna mtu, au watu wa kusema hapana?? Naonza kuona utabil wa g.world unatimia..
Hapana kwenye nini
 
Kavae na wewe ule teuzi.

We endelea kuvaa shati za vitenge batiki na suruali za vitambaa tu.

Teuzi utaziskia kwenye bomba.
Kwani una teseka na comment yangu kijana wa madrasa
 
Back
Top Bottom