Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Harufu kaudini ni kali sana hadi inakereketa.

KAZI IENDELEE
 
Punguza stress mkuu... relax
 
Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.

Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
Kwani mkuu bei hiyo waziri ndio anapanga?tatizo lake ni kila kitu kuingiza siasa, tanesco kuna lundo la matatizo yeye anayatolea matamko ya kisiasa tu na mwisho wa siku hayatekelezeki!!!
 


Huyo Makamba si ndio yule aliyekuwa akipinga Bwawa la umeme Stiegler lisijengwe??!!---- sasa kawa Waziri wa huo huo umeme! !🀣, pathetic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…