Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Naona baada ya watu wa zamani kuteuliwa ID zilizopotea zinarudiWaziri wa ulinzi mwanamama ~ Wenzetu Kenya wana mwanamama kwenye wizara hii na mambo yanaenda safi sana, hii ni wizara iliyotulia. Haihitaj waziri mwenye makeke.