Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Mfanya biashara na ulinzi;
Tax aliwahi fanya biashara ya kuuza magari sometime back while we were shooling in Japan. Niliwahi weka order ya gari kwake ingawa hatukufika mwisho kuuziana
Mbonà Kama mwarabu au macho yangu
 
 

Attachments

  • VID-20210912-WA0007.mp4
    17.7 MB
Wizara za upigaji ni nishati na wizara ya madini muda wa kina singa singa kurudi waanze kuchota mapesa ya watanganyika
Unatutisha mkuu, maana haya unayoyasema hapa ni kama kweli!

1. Bomba la gesi kwenda Kenya bila shaka sasa litapewa kipaumbele zaidi.

2. Makampuni binafsi ya kutuuzia umeme, hasa kutoka Marekani, bila shaka sasa yatapigana vibega kuwekeza ili watutoe kamasi kupitia kwenye mikataba yao ya kuuza umeme.
 
Mama anaakili Sana. hamjui Tu. Ulinzi ulinzi...na fyokofyoko fununufununu zenyu za kutaka .......... Sasa Lazima tuucheze mwingi tuwe na support sekta muhim Ka hiyo. Only if you know war I miiin.
Mama ameona mbali sana. Hizi njemba za humu nchini zote zimeelekeza akili zao kwenye kiti namba 1, ukizipa wizara ya ulinzi tegemea kuhujumiwa.
 
Kwa maoni Yangu nchi iko njiani kuliwa mande. Huyu maza anajimwambafy kufanya aliyofanya JPM ila anapanga ukoo wa mkwere kwenye baraza huku wale walokuwa kindakindaki awamu fulani wakipinduliwa na kuangikia pua . Hii nchi kuna ka kikundi kanaiongoza na makamba ni zao Lao
 
Pacha unakosea. Kwani kipindi cha hayati walikuwa hawatumbuliwi? Tusilee uozo eti kisa fulani alikuwa team hayati.
 
Kwanini kamuacha Doto Biteko!!??
Huyu naye hafai kabisa
 
Kama alivyokuwa anafanya JPM kujaza Kanda ya ziwa,Biteko,Kalemani,Kingwangala,Mpina,Mabeyo,Siro,wakala nchi weeee,
Sasa ni zamu ya wengine kula,lakini wote si watanzania,hakuna shida,kutesa kwa zamu
 
Pacha unakosea. Kwani kipindi cha hayati walikuwa hawatumbuliwi? Tusilee uozo eti kisa fulani alikuwa team hayati.
Duu sikujua nina pacha humu. Kwanza nikusalimie kwa jina la jamhuri yetu ile ile kaka. Tumbua neutral inaeleweka na yenye mlengo fulani nayo iko wazi . Time will tell ila hizi teuzi zina harufu ya awamu ya nne .hapo ndo kama nchi tutaliwa mande mchana kweupe . Naamini awamu ile ulikuwa haujawa uwanjani ila sisi wakongwe tunayo mengi ya kuwasimulia
 
mlilemazwa sana akili na yule punguani wenu,hakuna Mtanzania mnyonge!!
 
Hawa wote Hawana jipya.haiwezekani miaka 60 ya uhuru wananchi bado wanachangishana fedha za ujenzi wa madarasa kwa harambee.hii serikali ya kihuni ya ccm Haina jipya kwa wananchi.
 
Dakika ya Kumi , timu yetu inafanya mabadiliko madogo , wachezaji watatu wanatoka kwa mkupuo.
Ila kwa mbali namuona mtoto wa Nyoka mwenye kuangalia asipokwenda, akikalia kiti cha baba yake.

Mawaya anaingia baada ya kukalia benchi kwa kipindi kirefu.

Njia ni nyeupe kwa mbobezi na Team yake ya 2015. Chini ya Vasco da Gama kulitia kombe kwapani.

Mashambulizi yanakwenda vizuri.
Huku Madevu, kule mawaya, Mzee wa goli la kidole anapasha misuli.
Muda si mrefu La ziwani naye ataanza mbwembwe.

Kwako Jesse john studio ya Mikocheni
 
Bora gwajiboy kalala mlalo wa mende
 
Totally unfit for the position
Ahaaa acheni vichekesho

Wewe unafahamu kazi ya Waziri wa ulinzi?

Unafahamu kazi za Jeshi?

Unafahamu muundo wa Jeshi letu?

Unafahamu exposure ya Dkt Tax

Mambo ya Jeshi ni siri, Kaa kimya

Jeshi sio siasa za majukwaani

Bunge haliruhusiwi kujadili mambo ya Jeshi yanaisha kwenye kamati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…