Mazinde mkuu nikupe mobile no?Haka kajamaa mganga wake anapatikana wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazinde mkuu nikupe mobile no?Haka kajamaa mganga wake anapatikana wapi?
Watu kwa kujua tu, hamjambo aisee!Aibu tupu si kuchemka tu
Mchezo ganiNilijua kwa Kalemani. Huo mchezo wao walioufanya umemkost. Bado Majaliwa maana nae ana mkono katika hili
Mabeo.mwrnyewe anawapigia salute hadi kina kidotiTena sana! Yaani huyu Maza awe anapewa salute na kina Mabeyo?? Anyway kwa kuwa Waziri wa Ulinzi ni kama pambo tu, mwenye say ni CDF kunako wizara yao
Wale ni mashostMama kapoteza fursa nyingine nzuri ya kufanya mabadiliko kwenye Wizara ya Afya.
Dorothy Gwajima alitolewa nje ya Bunge pia.I think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.
Upi mkuu?Nilijua kwa Kalemani. Huo mchezo wao walioufanya umemkost. Bado Majaliwa maana nae ana mkono katika hili
Wewe mataga Pigania katiba mpya mawaziri wawe wanathibitishwa na kukubaliwa na bunge.Kunatatizo kubwa Sana Sana kwa taasis, ama madam hajaenea vzr au anaongozwa na watu ambao wanamwendesha kimawazo au anasukumwa na jenda issues,
Sasa unamtoa kwel kalamani et unatengua uteuzi wake, au ndugulile is she seriously?? Hii nchi imekosa kwel watu wakumwambia madam hili hapana unakosea;, kwel wazir wa ulinz unamweka tax??
Pigania katiba mpya ambapo mawaziri sio lazima wawe wabungeZile nafasi 10 za wabunge wa kuteuliwa zililenga pia kuwapata watu makini nje ya wabunge wa majimboni but ndiyo hivyo tenaa...
Anamuondoa AG aliyegundua na kuthibitisha UGAIDI nchini! Nini sasa hatma ya ugaidi bandia na nini hatma ya kinga za kina Ndugai! Ndugai baada ya kujijua amefanya uhalifu kwenye uendeshaji wa bunge akahakikisha anajitengenezea kinga ya kutoshitakiwa!Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo....
Kupitia katiba hii au hata mpya pia?Hakuna familiaya mpya itakayo ingia kwenye uongozi.