Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Tena sana! Yaani huyu Maza awe anapewa salute na kina Mabeyo?? Anyway kwa kuwa Waziri wa Ulinzi ni kama pambo tu, mwenye say ni CDF kunako wizara yao
Mabeo.mwrnyewe anawapigia salute hadi kina kidoti
 
January Makamba ni bright na ana exposure. Hataifumua hii wizara ya nishati na madini.

Ila amewekwa kipindi kibaya ambacho mafuta na madini hayawavutii wawekezaji wakubwa tena hasa kwa upande wa Afrika!! Kama unafutilia masoko ya hisa utaliona hilo. Makampuni yapata shida ku raise funds na kujifia taratibu! Barrick na Ophir are things of the past! Plenty of new kids in town!!

Piga kazi J Makamba … we will reward abundantly in 2030!!

Lakini mimi bado ni team Majaliwa na Ummy!
 
Binafsi nampongeza Mama Samia SH kwa mabadiliko haya; aendelee kufanya mabadiliko kwa kadri atakavyoona inafaa; yeye ndiye nahodha anayejua mwelekeo halisi wa chombo na pale anapokwama.

Sisi wananchi tunasubiri tu matokeo ya kila anachokifanya. Tunataka maboresho ktk uhalisia wa uchumi wetu na maendeleo yetu. Hata akisema anaondoa mawaziri wote anaweka wapya hatuna tatizo.

kila la heri Mama Samia🤙
 
I think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.
Dorothy Gwajima alitolewa nje ya Bunge pia.
 
Kunatatizo kubwa Sana Sana kwa taasis, ama madam hajaenea vzr au anaongozwa na watu ambao wanamwendesha kimawazo au anasukumwa na jenda issues,

Sasa unamtoa kwel kalamani et unatengua uteuzi wake, au ndugulile is she seriously?? Hii nchi imekosa kwel watu wakumwambia madam hili hapana unakosea;, kwel wazir wa ulinz unamweka tax??
Wewe mataga Pigania katiba mpya mawaziri wawe wanathibitishwa na kukubaliwa na bunge.
 
Kosa kubwa lilifanywa na JPM kuukataa upinzani na kuunda katiba mpya, nchi hii itachezewa mpaka kiama
 
Zile nafasi 10 za wabunge wa kuteuliwa zililenga pia kuwapata watu makini nje ya wabunge wa majimboni but ndiyo hivyo tenaa...
Pigania katiba mpya ambapo mawaziri sio lazima wawe wabunge
 
Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo....
Anamuondoa AG aliyegundua na kuthibitisha UGAIDI nchini! Nini sasa hatma ya ugaidi bandia na nini hatma ya kinga za kina Ndugai! Ndugai baada ya kujijua amefanya uhalifu kwenye uendeshaji wa bunge akahakikisha anajitengenezea kinga ya kutoshitakiwa!
 
Chamulioro na Ndugulile hawana jipya wale ila Stago Tax hamna kitu apumzike tu kashazeeka.

January Makamba jaguo sahihi.
 
Back
Top Bottom