Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Totally unfit for the position
Kwa nini Mkuu unataka kutuaminisha kuwa hao wengine wali fit walipoteuliwa kwa mara ya kwanza ondoa hiyo dhana ya kutaka majina uliyoyazoea ndio yateuliwe hata wewe unaweza kuwa hapo na ukapiga kazi...
 
Kabudi, Ndalichako, Mpango wakati wanateuliwa kwa mara ya kwanza hawakuwa wabunge
Kumbukumbu watu hawana Mkuu ugali unapoteza sana uwezo wa kutunza kumbukumbu na ndio tunakula kweli...
 
Unapima kuyumba ukilinganisha na awamu gani?

Watanzania tuache upumbavu..viongozi wetu wengi ni substandard na wengi below standard na hii ni kwa miaka na miaka..hii ya kujifanya sijui tunayumba sasa hivi ni unafki tu na upumbavu.
Hakika ni unafiki wa watanzania
 
Ila Kuna nchi nyingi tu duniani huduma za kuunganishiwa umeme ni bure.
Hakuna neno BURE kwenye biashara. Hayo ni maneno ya wanasiasa.

Ukiona huduma inatolewa kwa namna hiyo, basi ujue kuna namna gharama zinarudi kupitia manunuzi ya umeme .
 
Mwache rizi moko ateuliwe mwananchi huyu
 
Urais 2025

Mwigulu vs January.

Wafuasi wa Mwigulu leo wamepata pigo kubwa sana kusikia dogo January kafufuka tena.

Watatukana matusi yote.


2025 Mama Samia anaenda wapi ? By the way whoever is going to be elected alishapangwa na Mungu zamu ya Christian akitoka mama
 
Prof: Mbarawa anapaswa kuwa mkali sana maana Upigaji ulishaanza, ubadhirifu ulishaaanza ktk wizara ya Ujenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…