Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Dah hizi teuzi sijui zitanifikia lini na Mimi Nile shushu kidogo maana sijawahi kupanda wala kuendesha/endeshwa na Vieitee ..unayijua mavieitee wewe??
 
Nilijua kwa Kalemani. Huo mchezo wao walioufanya umemkost. Bado Majaliwa maana nae ana mkono katika hili
Mchezo upi huo mkuu, hebu nijuze mie nipo sijui ulimwengu wa ngap!!
 
I think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.

CCM si huwa wanawaza hapa na hapo tu...

Ukifika uchaguzi wanawekana makada wataopiga porojo jukwaani kuwashinda Chadema, halafu likija suala la uwaziri ndio unakutana na kina Kalemani wazee wa kuamrisha tu
 
Kazi iendelee.

Hivi mawasiliano ni jambo la muungano? Mbona Makame ameteuliwa kwenye wizara ambayo sio ya Muungano wakati yeye ni Mzanzibari?

Ama ndio zamu ya wazanzibari?
Katiba haimzuii Rais wa Jamhuri ya Muungano kuteua mtu toka Zanzibar. Mwalimu Nyerere aliwahi kuulizwa swali hilo na hilo ndiyo jibu lake.
 
Feleshi tunamjua, atapwaya, makando kando yake ni mengi kuliko hata ya huyu SUKUMA GANG kilangi.
Hii nchi inahitaji katibakuo doa udini na ukabila, the rest tunajazia maji baharini.
 
Sasa Ndungulile amefanya nini kwenye hiyo wizara?
Mnaouliza ndungulile amefanya nn hampo sawa kichwani nafasi ya uteuzi aliyekuteuwa hapangiwi kukuondoa au kukuacha aidha umefanya vizuri au vibaya

Tz inawatu wengi tu wanaotosha kuhudumu hiyo nafasi,muacheni hangaya apige kazi

Kipindi kile akina katambi wanapewa nyadhifa hamkuja kupiga domo, sasa za chini ya kapeti Nape anakuja kumtoa bashungwa
 

Nyumbani kwake wp [emoji3] ulikofika Kuna hicho kitu unachokisema anawekea hizo USD?
 
Bwana Makamba kala uteuzi.
Kuna muda flani, makamba aliwahi kukata tamaa na siasa! Alifikia hatua ya kutafakari upya maisha ya kisiasa! Leo kapata uteuzi kongole kwake!
Najifunza kitu ktk kukata tamaa.
 
Waache watu watoe sumu zao humu mafichoni unataka waongee upenuni wamulikwe we vp Jo.
 
Problems can not be solved by the same level of thinking that created them-Mchungaji Msigwa.
Hapa nikusahihisehe kidogo. Aliyewahi kutamka maneno haya kwa mara ya kwanza ni mwanasayansi mahiri wa karne ya 20, Albert Einstein (1879-1955)

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…