Nyamatare1987
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 416
- 493
Mimi bibi yangu kizaa baba ni msukuma tena Nyantuzu ila mimi sio Msukuma,Stegomena sio MsukumaKwahiyo Feleshi sio msukuma? Msukuma wa ndani ndo nini? Stegomena Tax hata kama baba mjerumani si mzazi wake mmoja ni msukuma! Sasa hapo unaongea nini? Tatizo lako unafikiri wasukuma wanatolewa kumbe wanatoka na kuingia! Acha chuki wasukuma hawaepukiki!
Haya kabila lake mjerumani na mama yake sio msukuma na hajazaliwa magu na kusomea mwanza!Mimi bibi yangu kizaa baba ni msukuma tena Nyantuzu ila mimi sio Msukuma,Stegomena sio Msukuma
Usishangae sana, January kawekeza Sana siasa za mitandaoni.Huyo January mnamuona malaika? watz kumbukumbu hakuna.
Katika hao ni nani makini?Hongera kwa Mh Raisi kwa kuwateua Watu makini,
Raisi kwa tizamo wangu anafanya kazi kwa ukaribu sana na vyombo vingine katika kufanya teuzi,ndio maana kila anayemuweka ni mzuri na anafit vema katika nafasi yake.La kujifunza ni kutokua na kiburi ukiwa kwenye madaraka,kuwahudumia Watanzania kwa nguvu na maarifa ya hali ya juu.
Ukisema sio msukuma, basi tafsiri yake ni mjerumani. Sasa inakuwaje mjerumani anateuliwa kuwa waziri?Mimi bibi yangu kizaa baba ni msukuma tena Nyantuzu ila mimi sio Msukuma,Stegomena sio Msukuma
Mini grid ndio nini ? Vyanzo vya uzslishaji vya Tanesco vinazalisha uneme mwingi kuliko tunao utumia.Ninahoongelea ni mini grids (sio main grid). Hizi zipo zaidi ya 100 kwa hapa nchini, za solar, za hydropower, za dizeli na za mchanganyiko (hybrid). Hizi zinasaiia kuleta umeme maeneo ambayo umeme wa gridi haujafika, na zinasaidia sana. Kwa walio mijini ni ngumu sana kuelewa naongelea nini.
Makamba is smart.Hata January😂😂😂😂
Lipi?Nilijua kwa Kalemani. Huo mchezo wao walioufanya umemkost. Bado Majaliwa maana nae ana mkono katika hili
Kujichanganya ?Bila Shaka hii ni Kwa mara ya kwanza Nchi ina Pata waziri wa ulinzi Mwana Mama
Mpaka ubadhirifu wa Mali za umma utakapokoma ndio Nchi itapiga hatua nyingi kwenda mbele, lakini hiyo ni ngumu kwa sasa maana watu wanaamini katika "KAZI NA BATA" Hii falsafa hii haiwezi kuipeleka Nchi mbele, Zinatafutwa kisha wengine wanapanga namna ya kuzila, Unaona hata Spika anashangaa safari za Dom - Dar zimezidi, Huo ni mfano mdogo tu, kwa kweli tujitahidi kubana matumizi kama tunaitakia mema nchi yetu,Hii nchi inapiga hatua mbili mbele alafu inarudi hatua tatu nyuma, ni ngumu sana kufika huko tunapopafikiria
Wote ni makini,uzoefu wa Makamba,Mbarawa,Tax na Wengine utakua na tija kwenye awamu ya 6. Kwa maoni yangu ningependa Mama abadilishe baadhi ya Mawaziri ambao wanaonekana energy yao imeshuka,kuna mambo yanaanza kujirudia,business as usual.Kuna viongozi wamerelax na kusoma upepoKatika hao ni nani makini?
Makamba alikuwa waziri Toka enzi za kikwete, hakuna jipya
You must be foolish! Mtu ambaye kichwani ni mtupu wewe una imani naye! Au unafurahia anavyoigiza mzee wa busara?Safi sana, kongole kwa wote walioteuliwa hasa Mh. Makamba, huwa nina imani kubwa sana juu yake
Wote mko sawa kwa 50%. Madame Tax ni Msukuma kwa mama yake lakini Mjerumaniu kwa baba yake, she is more Deutsche oriented cultured, though remains a high breed of both traitsUkisema sio msukuma, basi tafsiri yake ni mjerumani. Sasa inakuwaje mjerumani anateuliwa kuwa waziri?
Yote kwa yote, kwa wanaCCM hakuna jipya
Umeme kweli umeanza kuwa shidaKanda yaziwa itulie kidogo sasa...huruma kwa chato washkuru tu umeme ulishazama kilachocho!!!
Mama ni mama tu, NANI KAMA MAMA ?Wote mko sawa kwa 50%. Madame Tax ni Msukuma kwa mama yake lakini Mjerumaniu kwa baba yake, she is more Deutsche oriented cultured, though remains a high breed of both traits
Yupo MTU mwenye akili timamu anaweza akadharau upande wa mama yake eti tu kwa kuwa baba yake ni wa kutoka mataifa ya nje ? , Hakuna kitu kama hicho Acheni chembe chembe za ubaguzi hizoSio wasukuma wa ndani kabisa,Stegomena sio Msukuma,Mama yake ndo Msukuma,baba yake alikuwa mjerumani
Kujichanganya ?
Waliopo ni wabunge wa kuunga mkono hoja tu mkuu.I think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.