Nyamatare1987
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 416
- 493
Mimi bibi yangu kizaa baba ni msukuma tena Nyantuzu ila mimi sio Msukuma,Stegomena sio MsukumaKwahiyo Feleshi sio msukuma? Msukuma wa ndani ndo nini? Stegomena Tax hata kama baba mjerumani si mzazi wake mmoja ni msukuma! Sasa hapo unaongea nini? Tatizo lako unafikiri wasukuma wanatolewa kumbe wanatoka na kuingia! Acha chuki wasukuma hawaepukiki!