NIDIU.Vijana wale wanarudi..
Soon nape, soon ridhiwan..
Kuna tofauti kubwa kati ya kupiga porojo kwenye kijiwe cha kahawa na kufungua na kupitia mafaili na ma documents kibao tena ya kimombo [emoji12][emoji12][emoji12]Hivi Kibajaji hawamuoni miaka 20 bungeni hajawahi hata kuwa naibu,wapinzani waliohamia ndani ya miezi kadhaa wakapewa uwaziri
Iyo miundombinu ya umeme ni Mali ya Mteja kupelekea isiwezekane?Haiwezekani wateja kulipia 27 elfu kuunganishwa ? mbona hata bure inawezekana ? Ukizingatia mita na nguzo ni mali yao na kuunganishwa watu wanapata faida zaidi ya watumiaji unadhani baada ya Bwawa la Nyerere kumwaga hizo megawatt tutazipeleka wapi ?
Aje nae tupambane na vifurushi vyakeNdungulile nini tena kimetokea tukidhani angefaa kuwa Waziri wa Afya kuliko wale waliopo
Ni kweli kabisa hata ule uwanja wa ndege kule kijijini kwao aliujenga kijanja [emoji23][emoji23][emoji23]Ushuzi kwakua nimesema Jk alikuwa mwizi pia?
Kama utatumia hata robo ya akili zako ndogo ulizonazo, hauwezi kuupima utofauti wa JK na JPM katika sekta ya wizi.Watofautishe kwa mengine ila kwenye swala la wizi hawana utofauti, tena bora hata JPM aliiba kijanja.
Ndiyo maana watu wanadai katiba mpya ili kuondoa hii dhana ya eti lazima waziri awe mbunge.Hata mimi imenishangaza hii mkuu! Hadi mtu anamaliza kipindi chake huko nje, anarudi tu anabandikwa ubunge na uwaziri hapo hapo baada ya kuapa ubunge!!!! CCM wajitafakari! Kundi lote hilo hakuna mbadala wa Marehemu Kwandikwa?
Unakumbuka hata yeye alikuwa anawafukuza halafu baada ya muda anawarudisha tena kwenye uwaziri?Japo alikuwa na mapungufu yake late Legendary Pombe alikuwa kiboko na alifaa kwa haya madudu yanayojirudia.
fukuzeni manara .. hakuna kitu paleBasi tu mimi nina hasira zangu za Yanga kufungwa hata sijui😂😂😂
Ok.nimekupata.Waziri wa madini ni Doto Biteko wewe.
Pamoja sana mkuu.Umeelewa nilichoandika hapo
Besides hakuna anaejua who will be the next president
Hata wewe unaweza kuwa
Kama hujui mini grid bro naona hatuna haja ya kujadili zaidi. Website ya Tanesco inaonesha uzalishaji ni MW 1601, hatujafika kwenye MW 2000 bado.Mini grid ndio nini ? Vyanzo vya uzslishaji vya Tanesco vinazalisha uneme mwingi kuliko tunao utumia.
Uzalishaji uko karibu 2000MW na matumizi yapo karibu 1600MW, tatizo ni usambazaji.
Miundo mbinu ya usambazaji ni hafifu na mingine imechoka mbali ya kutokidhi mahitaji ya wakati huu.
anayeongoza nchi hii anaishi Msoga. Pale Magogoni kuna ushungi tu.Naona vasco da gama wa msoga anazidi weka chama lake
Kwa hiyo tuna Mjeru..... waziri wa ulinziSio wasukuma wa ndani kabisa,Stegomena sio Msukuma,Mama yake ndo Msukuma,baba yake alikuwa mjerumani
Sina sababu lakini Nilikuwa namuona kalemeani ni mtu asiefaa, hapo rais amefanya sawa kumfuta kazi, lakini kwa Feleshi amekosa saana, feleshi ni mtu asiyefaa kwa nafasi hiyo nyeti.Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo
- Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa
- Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Faustine Ndugulile ambae uteuzi wake umetenguliwa
- January Makamba anachukua nafasi ya Merdard Kalemani wizara ya Nishati
- Makame Mbarawa anachukua nafasi ya Chamuriho wizara ya ujenzi na uchukuzi
- Dkt. Feleshi anachukua nafasi ya Kilangi kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali
Nafikiri tumeelewana Sasa, ndio aliujenga kijanja kwasababu kuna baadhi ya vitu vilitungiwa kabisa sheria na binge likapitisha, kwahiyo hata kama baadae vilikuja kuonekana na dosari bado havikuzua mijadala ya muda mrefu, ingawa kiuhalisia ulikuwa ni upigaji.Ni kweli kabisa hata ule uwanja wa ndege kule kijijini kwao aliujenga kijanja [emoji23][emoji23][emoji23]