Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Naona nchi sasa imerudi mikononi mwenu tena, sasa mna amani
Mama ni Ubavu wa Mzee wa Msoga. Hawezi kupindua chochote hata akitaka kupindua.
Hayati JKN alisema, tuhuma tu ilitosha kumtoa kiongozi kwenye wadhifa wake, kwanini atuhumiwe yeye?

Siku nyingi sana zimepita, tuliona nyaraka hapa za wanafamilia na akina Barrick wakipeana mamilioni ya dollari ili kufanikisha Makamba awe waziri wa Nishati na Madini, kisha wachomeke mirija yao milele amina.

Kuna mdau alielezea jinsi Vasco alivyoshinikiza kupitia SSH, January apewe uwaziri kama shukrani kwa kazi nzuri aliyofanya kimtandao kufanikisha matokeo ya uchaguzi fulani, jamaa akasema JPM akaamu kumpa wizara ngumu chini ya ofisi ya SSH kudhihirisha utupu wake kichwani.

Na makando kando mengine meeengi ya viongozi wetu, sijui kwanini bado wanaendelea kuwepo kama hizo tuhuma zipo!

Singa singa, Makamba, Symbion, Songas, IPTL, Aggreko, Mgao, Dharula, kina cha maji kupungua kwa mtera na kihansi, kukosekana kwa fungu la kuendeleza bwawa la JN, ziara ya kutafuta wateja kwa sehemu iliyobaki bila kuuzwa, UPEPO MBAYA utapita, naona kama hayo maneno yanaanza kuhusiana tena!
 
Kunatatizo kubwa Sana Sana kwa taasis, ama madam hajaenea vzr au anaongozwa na watu ambao wanamwendesha kimawazo au anasukumwa na jenda issues,

Sasa unamtoa kwel kalamani et unatengua uteuzi wake, au ndugulile is she seriously?? Hii nchi imekosa kwel watu wakumwambia madam hili hapana unakosea;, kwel wazir wa ulinz unamweka tax??
Hii ni nchi elewa hivyo
 
Dr Feleshi na January Makamba
Wamerudishwa ulingoni.

Katika teuzi zote, uteuzi wa dr Feleshi una maswali mengi.
Kutoka kuwa Mkurugenzi wa mashtaka, Jaji Kiongozi na sasa Mwanasheria mkuu.
Inawezekana jamaa ni mchapakazi kuliko tunavyomjua
 
Back
Top Bottom