Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Tupa kule team MAGUFULI, ingiza team JM KIKWETE.

January Makamba Waziri wa Nishati?

Kwani Kalemani alisomea Nishati? Mawaziri wote wamesomea mambo ya Wizara walizopo?
Nafikiri hakuna sheria inayosema Waziri lazima awe na taaluma inayoendana na Wizara anayoiongoza
 
Mechi bado nadhani haijaisha Pamba anaweza kufanya comeback Mana kakiimarisha zaidi kwenye defence so wanahitaji kurekebisha kidogo kwenye kiungo na kwenye ushambuliaji. Refa tu azidishe umakini.
 
Sasa hapo ndpo tunaanza na tatzo, unafkr tulikuwa tayar kuongozwa na mwanamke?? Na Kama tulikuwa tayar Nan tulimwandaa kuwa?? uRais c bahati nasib mkuu.. unaona Sasa, hata ww unakil hatuko tayar Sasa Ni Lin tulisema tuko tayari??
Acha upuuzi. Inaonekana wewe hata Katiba huijui. Kwani JPM wakati anagombea Urais 2020 na kuendelea kumteua Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza ambaye anakuwa Makamu wa Rais hukuelewa maana yake?

Maana yake ni kwamba lolote la kutokea likitokea kwa Rais, yeye Makamu ndiye anatakiwa Rais wa URT!!!

Kwa hiyo kama hamkutaka Rais mwanamke, mngepinga uteuzi wake wa kuwa mgombea mwenza from the beginning.
 
Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.

Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
Hawezekani wapi wewe, unajua tanesco wanakusanya sh ngapi kwa siku?
 
Watanzania wote ni kitu kimoja. Tusikuze ukabila, ukanda wala udini. Kiongozi mkuu tunakuomba uzidi kuwa conscious. Corrections unazofanya awamu ya 6 ni kwa sababu awamu ya 5 ama kwa makusudi au bahati mbaya haikujali hatari katika mambo haya. Lakini muhimu zaidi, tukubali katiba ya Warioba ifanyiwe kazi na kuzaa katiba mpya yetu sote kungali na amani Tanzania. Wah.Waryoba, Polepole, Kabudi na HE Samia hawakuwa wapinzani walipoipokea katiba ya wananchi kwa sherehe. Wako wanaotaka watu tuamini dai la Katiba mpya ni la upinzani. Mnawapa sifa wao peke yao kimakosa. Ni sifa ya watanzania wote. Vinginevyo tukubali "UNAFIKI" uwe tunu mpya ya Taifa letu. Turuhusu wapinzani kwenye bunge letu ili liwe bunge hasa sio hili la sasa la hovyo kabisa. Anaeshinda kihalali ndiye watanzania wanaemtaka. Hapo tutakuwa "level" automatically.
 
Hamchoki tu kumuwaza JPM kima nyie ??!,alafu dhalimu baba yako ,,ipo siku na wewe utakufa tu!
Mkuu, sisi sote tutakufa tu.
Je ninyi hamtakufa? Hivi ninyi waumini wa dhalimu mwendakuzimu, mbona hammfuati huko aliko? Mbona hata leo mnao uhuru huo? Alipokuwa anaagiza watu wapigwe risasi, hakujua kuwa naye siku yake ipo? Asante corona kwa kutuondolea huyo shetwani!
 
Maybe the coastal region is regaining back the power! The game of survival of the fittest has started afressh..!
Kule Lameck huku February.. ! Dogo wa Kisimayo na yule Mnyankole bado wanasikilizia ... Maybe tomorrow anything can happen![emoji23]

Pwani wamepiga mbili bila.. Ni bao la kisigino lakini the fight is on! The gang vs the coastal! Piga nikupige... Mwenye kisu kikali ndio mla nyama! Mwenye kisu butu akinoe!
Maybe our mom is gaining grounds! Better be before its too late..! The gang is always sleepless! The struggle is on!
[emoji23]View attachment 1935396
Nilikuwa nakuona una akili kumbe ni mshamba kiasi hiki? Acha ukabila na ukanda
 
Back
Top Bottom