Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Sifa la wajita likoje kabla cjakwenda kuoa mjita mnk nampenda happy mjita wa hap dsm
 
Amshukuru sana JK

Sasa asije kukosea kuingia mikataba hatari sana au ya hovyo hovyo ya wizara ya nishati, au kuandaa sera mbovu sana za wizara hiyo, sbb waliomuweka wana maslahi makubwa huko. Afuate sana ushauri wa Mh. Speaker Ndugai.
 
Kumutoa Kalemani siyo shidanila shida ni yule aliyemuweka na tabia za kiswahiliswahili,,ndo maana tunaona wanaagenda zao za siri kulikotulivyofikilia
Agenda za kuuza nchi kwa singh
 
Mjita,Wajita ni Matatizo ndio wanaotusimbua Mkoa wa Mara! Uchawi wao,unafiki wao,uchoyo wao,majivuno wao,roho mbaya wao.tena wanafanana Wanaume&Wanawake.
Najua siyo vizuri kudhihaki kabila la MTU,lakini hilo kabila ni hovyo sana wachache sana wapo tofauti.
... mmoja au wawili waliokuvuruga wasikufanye uhukumu kabila lote!
 
Unajua mama huyu kalemani usingemtoa aisee yuko poa sana, kafanyaje kazi nzuri sana

Huyu waziri kaonyesha output kabisa yaani anafaa sana kwa maendeleo ya kazi kazi kazi sio mtu wa kucheka cheka ni mtu wa kazi...
At the end wote ni CCM.

Utopolo
 
Mjita,Wajita ni Matatizo ndio wanaotusimbua Mkoa wa Mara! Uchawi wao,unafiki wao,uchoyo wao,majivuno wao,roho mbaya wao.tena wanafanana Wanaume&Wanawake.
Najua siyo vizuri kudhihaki kabila la MTU,lakini hilo kabila ni hovyo sana wachache sana wapo tofauti.
Una hasira za ukabila ndugu, Tanzania kuna cultural diversity sana tu kwa hiyo yakupasa kuwa mvulimivu maana katika makibila yetu huwezi kukuta perfection
 
Unajua mama huyu kalemani usingemtoa aisee yuko poa sana, kafanyaje kazi nzuri sana

Huyu waziri kaonyesha output kabisa yaani anafaa sana kwa maendeleo ya kazi kazi kazi sio mtu wa kucheka cheka ni mtu wa kazi...
Thread imeandikwa kitoto sana
 
Unajua mama huyu kalemani usingemtoa aisee yuko poa sana, kafanyaje kazi nzuri sana

Huyu waziri kaonyesha output kabisa yaani anafaa sana kwa maendeleo ya kazi kazi kazi sio mtu wa kucheka cheka ni mtu wa kazi...
Regarding Dr. Chamuriho, tutajie watu wa kabila lake aliowajaza wizarani!
 
Ajichanganye atuletee ma Escrow mengine aone balaa lake.
 
Sijui ana mkosi gani uyuu nduguu🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️
Akiambiwa aogelee sana Kigamboni ili kutoa Nuksi hataki anasema anaogopa Mawimbi makubwa wakati kuna Mteule Mwenzake Mmoja Yeye kila Siku ana Ratiba ya Kupiga Mbizi Bahari ya Hindi ndiyo maana Nyota yake inang'aa tu.
 
Mjita,Wajita ni Matatizo ndio wanaotusimbua Mkoa wa Mara! Uchawi wao,unafiki wao,uchoyo wao,majivuno wao,roho mbaya wao.tena wanafanana Wanaume&Wanawake.
Najua siyo vizuri kudhihaki kabila la MTU,lakini hilo kabila ni hovyo sana wachache sana wapo tofauti.
Duu basi habari mbaya hii. Nilikuwa nakademu kajita kalikuwa kasumbufu nikakazimiaga simu hadi leo. Kangeniloga walak
 
Tanzania Association of Oil Marketing Companies, TAOMAC na SOLUTIONSTAG wampongeza Mh. January Makamba kwa kuteuliwa kuwa waziri wa Nishati Tanzania.
1631709488546.jpeg

1631709981360.jpeg
 
Tanzania Association of Oil Marketing Companies, TAOMAC na SOLUTIONSTAG wampongeza Mh. January Makamba kwa kuteuliwa kuwa waziri wa Nishati
 
Back
Top Bottom