Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba

Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba

Bado najiuliza BARUA Official inayotoka kwa UMMA na inayobeba MAMLAKA makubwa kiasi hichi inakuwa na DOSARI/KASORO ndogo ndogo za kiuandishi kiasi hichi na mtu anatia SAINI kabisa???

NAJIULIZA hili swali kila siku.
"Kikuu kikuu cha Dodoma". Humu JF wenye degree wanaitwa wa ovyo wakikosea tu kuandika. Haya hao hapo sasa wana degree na uzoefu kama wote tena ofisi ya rais. Na ametia na muhuri kabisa....Inasikitisha.
 
Kazi gani!?..viraka gani!?..kazi ya mamlaka ya uteuzi ni kuteua,kufuatilia utendaji,kutengua ikiwa mteule hakufikia matarajio


Consistency kwenye utendaji inatoka wapi sasa kama kila siku tunateua na kutengua.

Matarijio unayotoa wapi wakati unarotate watu wale wale kutoka huku unapeleka kule.

Incompetency ni Incompetency tu hakuna namna nyingine.
 
Sema hii kazi ya kuteua kutengua naona Tanzania tunaongoza list. Ruto huwezi kusikia kateua katengua. Shida ni akili kichwani kwa watu wetu au utamaduni. Watu hawafanyi kazi wanajisahahu angalia rc wa geita anaenda kuchungulia chupi za watoto badala ya kufanya kazi
 
Back
Top Bottom