Norton82
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 721
- 622
Mstaafu.Mstaafu vs Mstafu ipi sahihi wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mstaafu.Mstaafu vs Mstafu ipi sahihi wakuu?
Na hakuna tija yoyote zaidi ya gharama kubwa kwa wananchi, hivi kuna nchi nyingine kama Tanzania Rais muda wote anajifunza kuteua?Hii nchi ngumu mnoo.
Utumbuaji na uteuaji ndio umekuwa mtindo wa uwajibikaji.
CCM na serikali yake ni laana tupu.
Na kujiharishia kwa furaha!Walioteuliwa wa-bubujikwa na machoz watetemeka na kurukaruka huku wakigaragara.
Sahihi kabisaNaona marehemu wamesahaulika......😂😂😂😂
PS utamteua kwa kazi gani?Akina Lucas Mwashambwa wanaishia kulamba matapishi tu
Kazi gani!?..viraka gani!?..kazi ya mamlaka ya uteuzi ni kuteua,kufuatilia utendaji,kutengua ikiwa mteule hakufikia matarajioBado tunaziba viraka tu, lini tunaanza kufanya kazi sasa kama kila siku teua, tengua.
"Kikuu kikuu cha Dodoma". Humu JF wenye degree wanaitwa wa ovyo wakikosea tu kuandika. Haya hao hapo sasa wana degree na uzoefu kama wote tena ofisi ya rais. Na ametia na muhuri kabisa....Inasikitisha.Bado najiuliza BARUA Official inayotoka kwa UMMA na inayobeba MAMLAKA makubwa kiasi hichi inakuwa na DOSARI/KASORO ndogo ndogo za kiuandishi kiasi hichi na mtu anatia SAINI kabisa???
NAJIULIZA hili swali kila siku.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 yaaniPS utamteua kwa kazi gani?
Ataishia kupewa ten ten za kuandika upumbavu wake hapa huku wenzie wanapiga pesaHahahaha 🤣 🤣 🤣 yaani
Kazi gani!?..viraka gani!?..kazi ya mamlaka ya uteuzi ni kuteua,kufuatilia utendaji,kutengua ikiwa mteule hakufikia matarajio
Naona hata wewe mwenyewe kwa kinywa chako unaona kuwa Mheshimiwa Kafulila ni jembe kwelikweli na ndio maana umeamua hadi kumtaja.Kafulila chali!
Wala hunikatishi tamaa kwa maneno yako maana nitaendelea kumuunga mkono ,kwa kuwa ni kiongozi mchapa kazi na mzalendo kwa Taifa letu na ndio maana ya kuendelea kupata imani ya Mheshimiwa RaisKafulila chali, tuone utamsifia wapi, tulikueleza tulia na ephen ukaona kusifia ndio kazi