Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba

Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba

Isije ikawa ni Makonda effect na kujiandaa na 2025 election. Naona mkuu anataka kurudisha ile team ya jpm maana ni team ya ushindi.
It was a matter of time kwa mobhare kutolewa hakufit ile puzzle pale.

Thats why we need new constitution ili kupunguza nafasi nyingi za kuetuana na kutenguana. Watu wateuliwe kwa kupimwa na interview ziwe live televised on TV kama kenya au South africa.
 
Sema hii kazi ya kuteua kutengua naona Tanzania tunaongoza list. Ruto huwezi kusikia kateua katengua. Shida ni akili kichwani kwa watu wetu au utamaduni. Watu hawafanyi kazi wanajisahahu angalia rc wa geita anaenda kuchungulia chupi za watoto badala ya kufanya kazi
Kenya teuzi nyingi lazima zipitie Bungeni kwa Usaili
 
Baada ya kuona alivyokuwa composed kwenye ile event ya kutoa gawio nilijua tu yule jamaa ndo the next Mkurugenzi Habari Ikulu au Msemaji wa Serikali.

Simjui vizuri ila as long as anafanya kazi na Nehemia Mchechu naamizi hawezi kuwa kilaza. Hadi Nehemia Mchechu akuamini na kukuweka front kwenye event ya namna ile basi wewe lazima utakuwa uko vizuri sana.

Nchi hii wanaojua kugundua uwezo wa watu na kuwakuza namba moja ni Nehemia Mchechu
 
Back
Top Bottom