Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Akachape kazi.Makoba ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akachape kazi.Makoba ndani
Inasikitisha sana mkuu...Bado najiuliza BARUA Official inayotoka kwa UMMA na inayobeba MAMLAKA makubwa kiasi hichi inakuwa na DOSARI/KASORO ndogo ndogo za kiuandishi kiasi hichi na mtu anatia SAINI kabisa???
NAJIULIZA hili swali kila siku.
Sizani ana jipyaAkachape kazi.
Tayari nimeshaweka.Weka mkeka acha maneno.
Kwanini unasema hivyo.Sizani ana jipya
Umebubujikwa na machozi 😭😭Dah nimelia sana 😭
😁😁Na wewe Max akuhamishie jukwaa la ujenzi
Kenya teuzi nyingi lazima zipitie Bungeni kwa UsailiSema hii kazi ya kuteua kutengua naona Tanzania tunaongoza list. Ruto huwezi kusikia kateua katengua. Shida ni akili kichwani kwa watu wetu au utamaduni. Watu hawafanyi kazi wanajisahahu angalia rc wa geita anaenda kuchungulia chupi za watoto badala ya kufanya kazi
Taifa zima haliwezi kuwa la viongozi tu.Wewe mbona huteuliwi?huna shule kichwani au?
Umeanza utoto wako mdogo wangu.Miaka 5 itaisha anateua pekee na hakuna tija yoyote
Kwa hakika amewaondoa sana.Ikulu fagio limepita sio mchezo
Wallah nimecheka kifala sanaWalioteuliwa wa-bubujikwa na machoz watetemeka na kurukaruka huku wakigaragara.
Ni kawaida katika kuimarisha utendaji kazi serikalini.Tengua teua
Ova
Nimeiweka tayari katika andiko langu.mkeka ukwapi?