Uteuzi na uchaguzi ndani ya China (China's Meritocracy)

Uteuzi na uchaguzi ndani ya China (China's Meritocracy)

kwann mnapenda uongo ? kila kitu mmekiua baada ya huyo mzee kuondoka , mkaua viwanda , tamuduni pamoja na uadilifu , enz za huyo mzee alijitahid kulinda utamduni wetu ( sio leo vijana mlianza mlegezo mkaja suka mkamaliza kusuka kisha mkapumuliwa kbs ) , pia uadilifu ulikuwa mkubwa sana enzi zake bila kusahau elimu elimu haikuwa na mazingira mazuri ila ilikuwa bora kuliko leo mtoto wa form 2 hajui table wala kusoma kila kitu kuchagua elimu imejaa siasa , ukija kwenye usafiri tuliua meli zaid ya moja kwa ziwa nyasa , hata tanganyika na victoria pia meli ambazo zilifanya kazi enzi za mwalimu , mipango miji ilikuwa swafi enzi za mwalimu ndio maana vijiji vya ujamaa mpk leo vimeacha ramani zinaeleweka tofauti na miji mipya baada ya mzee kuondoka KITUKO NI WALE WANAOTAKA MZEE ANGEJENGA FLYOVER , SGR AU MADARAJA MAKUBWA KTK ENZ AMBAZO UCHUMI WA MTU MMOJA ULIKUWA DUNI SANA , MZEE ALIONDOA GAPE LA ALIYEKUWA NACHO NA ASIYEKUWA NACHO TOFAUTI NA WENZETU KENYA MPK LEO HALI NI MBAYA SABABU MISINGI ILIWARUHUSU WACHACHE WAMILIKI 75% ya uchumi wa nchi huku 25% wakibakia duni
Viwanda vilianza kufa mchonga akiwa madarakan

Vingi vilikua vikijiendesha kwa hasara wakitegemea hazina ili kukidh malipo ya mishahara na hili linaendelea mpaka sasa ktk baadh ya mashirika ya umma

Mambo yalikua magumu zaid kiuchum mpaka akatangaza sera ya kufunga mkanda

Baada ya sera ya kufunga mkanda kuona nayo haielewielewi akaona isiwe tabu bora ang'atuke huku uongoz akiwa bado anaupenda
 
mueleze huyo maana kuna watu wanaamini siasa za mchonga zilikuwa sawa sawia kumbe kuna mambo mengi tu alikosea na mengi hayasemwi au yanasemwa chini chini ili kumsitiri na kuisiti ccm.
 
Back
Top Bottom