Uteuzi na uchaguzi ndani ya China (China's Meritocracy)

Viwanda vilianza kufa mchonga akiwa madarakan

Vingi vilikua vikijiendesha kwa hasara wakitegemea hazina ili kukidh malipo ya mishahara na hili linaendelea mpaka sasa ktk baadh ya mashirika ya umma

Mambo yalikua magumu zaid kiuchum mpaka akatangaza sera ya kufunga mkanda

Baada ya sera ya kufunga mkanda kuona nayo haielewielewi akaona isiwe tabu bora ang'atuke huku uongoz akiwa bado anaupenda
 
mueleze huyo maana kuna watu wanaamini siasa za mchonga zilikuwa sawa sawia kumbe kuna mambo mengi tu alikosea na mengi hayasemwi au yanasemwa chini chini ili kumsitiri na kuisiti ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…