Uteuzi na Uhamisho: Rais Samia amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali

Hii ndo Tanzania tuliyoizoea, mitano Tena kwa mama Kizimkazi.
 
Teuzi za Dkt. Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano zina kasumba kabwa sana ya mwenye nacho uongezewa hii ina maana Rais aumizwi na ukosefu wa ajira uliopo?
 
Watanzania mpo wengi.Mtafikiwa tu na ninyi ambao hamjafikiwa.Mh.Rais azingatie uwezo na utaalamu wa wateuliwa ili makosa ya kupeana vyeo bila sifa hitajika yasijirudue.
 
Kwa hiyo uteue tu ilmradi halafu mje kusema kateua wasiofaa?

Hata Katiba yenyewe inataja sifa za kuwa mteule wa rais.

Mwacheni Mama ateue watu wenye uwezo!
 
Mimi nadhani inatakiwa kuwa na mkeka kikatiba kwamba boya yeyote akizingua ktk teuzi, akitumia nguvu ya umma vibaya, afilisiwe then 10years in prison, maximum security maana hao ni public enemy..

Na hizi teuzi watu waombe kwa CV
 
Mayor Quimby umetoa uchambuzi ulioshiba. Kweli kama nchi tumekwama hapa

 
Ili iwe nini!??🤷🤷 🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…