Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
JF kiboko kuna mtu kwenye mada ya naibu waziri kustaafu, akasema ‘bi-tozo’ keshasepa Zanzibar, akitulia tu anatangaza mabadiiko.

Mara paap.

2025 inogile.

Wakumsumbua ‘bi-tozo’ 2025 ni teeth tu, hao Makamba na Napę, mziki wa Nchimbi ndani ya CCM awauwezi.
 
Sema Nape mzee wa fitna mama atafanyiwa mizengwe, na lile neno aliloropoka wala hakukosea ni mipango ya kumset mama na kumtisha km vipi achane mkeka.!!
Tusubirie zengwe litakalosukwa
 
Ni kweli kabisa si kwa bahati mbaya haya yametokea ,yamepangwa yaka pika na kuiva.
 
Mtu kapata Div 4 akaenda kusoma City College Bangalore India akili anapata wapi?.
Mwingine ni mwizi wa mitihani Galanos pale sema ana ngekewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…