Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Huyu tutasugua Gaga tu hatoki.😥 . Chura kiziwi anakula naeTuendelee kumsagia kunguni, japo kuna kitu nanusa huenda yupo karibu huu utakatifu kauanza ghafla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu tutasugua Gaga tu hatoki.😥 . Chura kiziwi anakula naeTuendelee kumsagia kunguni, japo kuna kitu nanusa huenda yupo karibu huu utakatifu kauanza ghafla
Kabisa kabisa mwanakamati tuko pamoja hata mie nilishanusa kituMadelu naye ipo siku na hivi kaanza kujileta kukanusha humu na kupita kila platform ujue moshi unafuka huko
Pole sana Lucas ila usikate tamaa
Kunguni atakao sagiwa Samia na hawa wazandiki wawili hakuna rangi ataacha kuona.
Kabisa kwa lile tumbo itakuwa akili inamdanganya kuwa akipiga konyagi litapungua😂😂😂Alafu ni kama alikuwa na Konyagi kichwani akati anaropoka
Punguza personal attack na chuki binafsi mkuu 😊Mwigulu kwanini anaachwa?
Chalamila ana Mungu na mkuu wa wilaya wa Ubungo, baada ya sekeseke za juzi na ukali ule nilijua zikija teuzi hawatoboiYa Ruto yametoa darasa huku.
Ila huyu nguli wa uchumi ashukuru sana
Ubaya Ubwela au sioNa Bibi yenu nae ajiandae kuondoka next year ukimwaga ugali ujue kuna mboga pia. Bahati nzuri ipo na bahati mbaya ipo pia mbwai na iwe mbwai
Masharti ya mgangaAnapenda kuteua na kutengua siku za weekend usiku
Hii kuja kukanusha iko kimkakati sio muda kinanukaKabisa kabisa mwanakamati tuko pamoja hata mie nilishanusa kitu
Ni kweli kabisa si kwa bahati mbaya haya yametokea ,yamepangwa yaka pika na kuiva.in politics nothing happens out of mere coincidence,
everythings are normally well planned, organized, scripted and executed in order to achieve specific political objectives ..
on this reshafal,
political goals and objectives are going to easily be achieved soon, if you are aware above the motives of this move🐒
There is only one way to avoid criticism: do nothing, say nothing, and be nothingHamna lolote Mzee. Hawana impact yeyote hawa, Magu aliwapiga chini na halikutokea lolote. Mmoja Div 4, mwingine mwizi wa mitihani Galanos.
Ona huyu...!Anatakiwa ajistaafishe sasa na yeye. Imetosha. Au nasema uongo ndugu zangu?
Tatizo la Magu aliwaacha huru ndiyo kosa kubwa alilofanya. Alipaswa awapoteze kabisa kisiasa wasirudi kuwa na nafasi yoyoteHamna lolote Mzee. Hawana impact yeyote hawa, Magu aliwapiga chini na halikutokea lolote. Mmoja Div 4, mwingine mwizi wa mitihani Galanos.