Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chama cha Mapinduzi tuwe na kanzi data,ya wanachama wanao taka kuleta tahuruki kwa wapiga kura na kugombanisha ya serikali na wananchi,wafadhili na waangalizi wa uchaguzi.
Mama amefanya Kazi kubwa sana ambayo itawabeba wabunge wengi wa chama cha Mapinduzi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu Mwakani
Ushindi ni ushindi,ni vema ukapata ushindi w 70% halali kuliko unapata ushindi wa 99% wa magoli ya mkono.
Mwenyezi Mungu anawaona,
 
Maamuzi ni yake, lakini kumuondoa Jerry Slaa Ardhi ni kicheko kwa matapeli na pigo kubwa kwa wananchi.
Tulikuwa na imani kubwa na Slaa ili kukomboa ardhi zetu kwenye mikono ya matapeli lakini kamtoa.
Aiseee
 
Kwa mwendazake wengi tulifurahi maana alikuwa anakwenda kuingiza nchi kwenye machafuko nyang'au yule kama si Mungu kuingilia kati
 
Mamaaa mama huyoo mamaa mama huyo. Haririri riii (vigelegele)

Nape kufukuzwa ni jambo jema sana japo najua atarudi tu someday ccm kama itabaki madarakani lakini yule kilaza hakupaswa kuwa waziri
 
Yani ni kama uongozi wa wizara ya mambo ya nje umeondolewa wote. Something fishy was going on maybe. Balozi labda akaona ajitenge kutoka hapo...au inawezekana alikuw na taarifa / ni "watu wale" wa upande wa mama, naona atapangiwa kazi nyingine.

All in all Mama kafanya jambo jema...Nape aliichafua serikali na chama kwa kauli zake na on the way kijana Byabato likamkuta. Kwa makamba sijui nn kimetokea.
 
Esther Luxury?
 
Makamba mutoto wa mama vipi tena?
Ila Nape kanyea kambi.
 
Rais ana idadi maalum ya kuteua Wabunge na alishamaliza idadi hiyo alipoteua Mbunge kwa mara ya mwisho.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…