Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ila kwa hapo nampongeza mama angemwoondoa na mwigulu mchemba lawama zingeisha kabisa hakuna kitu kibaya kama awe analaumiwa tangu yuko juu uvccm bado mnamwacha hii nchi ni yetu sote wasiwepo watu fulani wanaidhani kuwa bila wao nchi au chama kitakufa la hasha hata mama kuna watu walidhani hataweza sasa imeonekana ameweza kuna watu wako nje maprofesa na dkt wazuri nao wapewe nafasi waoneshe ubebevu wao nashauri rais asiangalie umaarufu wa wazazi au kwakuwa kakaa muda mrefu serikalini wakaye pembeni wawapishe na wengine na wasirudishe tena
 
Unakopi vitu vya lee makwinyi.......
 
Nape na January na kina Kinana si ndio magwiji wa rigging? hawa wameshushwa ili wawe na muda wa kutosha wa kuandaa mpango kazi wa wizi wa kura 2025, Baada ya hapo wanarudi kwenye uwaziri wao
Kwa mara ya kwanza nimeona comment ya mtu anayejua siasa za nchi hii. Wametolewa ili wafatilie mtaani kunaendaje, kisha maandalizi yaende inavyotakiwa.
 
Naona baada ya hili, Uchunguzi wa Kifo na utata uliozunguka kifo cha Hayat Rais Magufuli Ufanyike haraka ipasavyo..

Kuna majamaa sauti zao zilisikika.

Bado Kinana tu. Sorry Comrade.
 
Protocol itafuatwa badaye haja kabidhiwa rungu rasmi.
Ikitokea amefariki leo (hypothetically), atazikwa kama marehemu Waziri wa mambo ya nje?

Au siku ya kuapishwa ubunge, akizingua, ina maana atakuwa bado si mbunge na si waziri halali.

Si kwa ubaya, nawaza tu kwa nia nzuri. Hizi ni baadhi ya eventualities ambazo wenzetu huwa wanazipa critical considerations kwenye katiba zao.
 
Unakopi vitu vya lee makwinyi.......
ni wa wapi huyo kwamba yeye pekee ndio anafahamu hivyo?

kwamba kwamba fulani akisema Dr Mpango ni miongoni mwa Makamu wa Rais makini sana ni sawa, ila akisema mwingine amekopi, right?

hata hivyo kuna ubaya gani katika siasa kukopi mambo yenye umuhimu?

kwani yule alie tumia slogan ya "Maendeleo ni sasa, kama sio sasa ni sasa hivi" alikopi au haya maneno yapo tu katika mzunguko wa siasa?🐒
 
Samia amefanya vizuri sana leo. Kila kiongozi ajue kuna mamlaka !!!! Pia Nape anaenda kuongea ujinga wakati anaona hali ya east Africa ilivyo. Mama kaona isiwe tabu... atawabeba mpaka lini. Unaona walivyomponza dogo byabato.
Mkuu February na Nope ilikuwa planned mda tu kuna ishu wamezingua ...tusubiri mengi kwenye uchaguzi ujao
....kuna hujuma walikuwa wanaorgqnize ....ile ishu ya TIS mkuu kubadilishwa ndo imeanzia hapo
 
Ulazima wa kumstaafisha Mbunge ulikuwepo, kwa misingi kwamba, Rais aliona mtu sahihi wa kumteua kuwa Waziri wa Mambo ya Nje alikua sio Mbunge na nafasi za Rais kwa wabunge wa kuteuliwa 10 zilikua zimeisha ,kwahiyo , anayepaswa kuondoka aliona aondoke na Ubunge aachane nao ili kumpa nafasi Rais kuteua waziri kutoka nje ya Bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…