kirumbiu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2016
- 640
- 702
Ila kwa hapo nampongeza mama angemwoondoa na mwigulu mchemba lawama zingeisha kabisa hakuna kitu kibaya kama awe analaumiwa tangu yuko juu uvccm bado mnamwacha hii nchi ni yetu sote wasiwepo watu fulani wanaidhani kuwa bila wao nchi au chama kitakufa la hasha hata mama kuna watu walidhani hataweza sasa imeonekana ameweza kuna watu wako nje maprofesa na dkt wazuri nao wapewe nafasi waoneshe ubebevu wao nashauri rais asiangalie umaarufu wa wazazi au kwakuwa kakaa muda mrefu serikalini wakaye pembeni wawapishe na wengine na wasirudishe tena