Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

hilo la ulaji hata huko ardhi alikotoka kuna uwezekano wa kuwa mwizi wa kutupwa na kutajirika pia hivyo kama ni mwadilifu, God fearing na performer basi ata shine tu popote pale …
 
Hivi kumbe kuna watanzania wanadhani kuwa yale aliyosema Nape kuhusu uchaguzi ndiyo yamefanya Samia amtumbue? Kweli tuna safari ndefu. Ingekuwa hivyo si tungekuwa na viongozi wawajibikaji sana na wenye matendo na kauli nzuri?
Mkuu basi tuambie sababu
 
Nape mdomo umemponza. Makamba sijui
Hakuna ambaye ameponzwa na mdomo wake.
Habari za utumbuaji wa Nape na Makamba zilivuja siku kadhaa zilizopita kabla ya kuropoka, na uzi upo hapa hapa JF zaidi ya siku kumi zilizopita.
Issue ya kuropoka ilikuwa 'staged', yaani Nape aliitengeneza makusudi (kucheza na mind) baada ya mkeka wa kutumbulika kwake kuvuja.

Sababu kuu ni mbio za urais na upigaji kuelekea 2025.
 
Mkuu basi tuambie sababu
Ile siyo sababu. Nape alishajua atatumbuliwa ndiyo maana akatoa ile kauli. Ni kama alikuwa anatuma ujumbe kwa mkuu wake kuwa ''wewe hupendwi kabisa na tunajua unategemea kuiba kura''. Sababu ya kutumbuliwa ni kuwa ni kwa muda mrefu sana kundi la Kinana lina ugomvi na utawala wa mama. Nikisema kundi la Kinana nadhani unajua kwamba Nape ni mtu wa karibu sana wa Kinana.
 
Ni kama Membe na Magufuli. In short Makamba alikuwa na mpango wa kugombea 2025, ndani ya CCM.
 
Uzi ufungwe sasa ili tukalale.
 
Nonsense and rubbish.
 
Mama amezungukwa na wasaliti. Originally ilitegemewa kuwa mama ataongoza kipindi hiki kumalizia muda wa mtangulizi wake na kuachia nchi.

Baada ya muda mama kanogewa na kuamua kuingiza timu 2025. Hapo mdo mambo yakaanza kwenda kombo. Wanao tamani urasi 2025 wakaanza chokochoko na kujipanga.

Wakageuka wasaliti.... mama naye ameamua kuwatema. Lakini bado kazi ni kubwa maana jamaa wamejipanga. Wanawatu kila mahali ndo maana unaona siku za hivi karibuni mama anasafisha ikulu. Aanze upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…