Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Tunawakaribisha uraiani waje waendelee na harakati za kufunga goli la mkono uchaguzi ujayo,Maana haya mambo ndo wanayoyaweza.
'Magoli ya mkono hayako tena , siku hizi kuna VAR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunawakaribisha uraiani waje waendelee na harakati za kufunga goli la mkono uchaguzi ujayo,Maana haya mambo ndo wanayoyaweza.
jerry slaa ana degree ya kwanza ya either computer science au informations systems designs so hapo pia anaweza akaupiga mwingi mpaka ukamwagika. Sema nape anasema ana makampuni ya simu 5 kwa hiyo ule ulaji usije ukaenda kwa jerry tena asitetee wananchi kukatwa pesa kwenye simu akajazwa yeye.
Hahahahahahah mkuu acha makasirikoWalivyoteuliwa uliuliza kwanini wameteuliwa au mteuaji alikushirikisha kuwa anawateua? Mjinga mkubwa.
Hivi kumbe kuna watanzania wanadhani kuwa yale aliyosema Nape kuhusu uchaguzi ndiyo yamefanya Samia amtumbue? Kweli tuna safari ndefu. Ingekuwa hivyo si tungekuwa na viongozi wawajibikaji sana na wenye matendo na kauli nzuri?Nape mdomo umemponza. Makamba sijui
Mkuu basi tuambie sababuHivi kumbe kuna watanzania wanadhani kuwa yale aliyosema Nape kuhusu uchaguzi ndiyo yamefanya Samia amtumbue? Kweli tuna safari ndefu. Ingekuwa hivyo si tungekuwa na viongozi wawajibikaji sana na wenye matendo na kauli nzuri?
JF ina vijana wapuuzi sana. Kwani Nape na Januari wamezaliwa ili wawe mawaziri mpaka kufa kwao? Wasitenguliwe wao ni akina nani hasa hapa Tanzania.Hahahahahahahja
Hakuna ambaye ameponzwa na mdomo wake.Nape mdomo umemponza. Makamba sijui
Ile siyo sababu. Nape alishajua atatumbuliwa ndiyo maana akatoa ile kauli. Ni kama alikuwa anatuma ujumbe kwa mkuu wake kuwa ''wewe hupendwi kabisa na tunajua unategemea kuiba kura''. Sababu ya kutumbuliwa ni kuwa ni kwa muda mrefu sana kundi la Kinana lina ugomvi na utawala wa mama. Nikisema kundi la Kinana nadhani unajua kwamba Nape ni mtu wa karibu sana wa Kinana.Mkuu basi tuambie sababu
Uzi ufungwe sasa ili tukalale.Hakuna ambaye ameponzwa na mdomo wake.
Habari za utumbuaji wa Nape na Makamba zilivuja siku kadhaa zilizopita kabla ya kuropoka, na uzi upo hapa hapa JF zaidi ya siku kumi zilizopita.
Issue ya kuropoka ilikuwa 'staged', yaani Nape aliitengeneza makusudi (kucheza na mind) baada ya mkeka wa kutumbulika kwake kuvuja.
Sababu kuu ni mbio za urais na upigaji kuelekea 2025.
Nonsense and rubbish.Ile siyo sababu. Nape alishajua atatumbuliwa ndiyo maana akatoa ile kauli. Ni kama alikuwa anatuma ujumbe kwa mkuu wake kuwa ''wewe hupendwi kabisa na tunajua unategemea kuiba kura''. Sababu ya kutumbuliwa ni kuwa ni kwa muda mrefu sana kundi la Kinana lina ugomvi na utawala wa mama. Nikisema kundi la Kinana nadhani unajua kwamba Nape ni mtu wa karibu sana wa Kinana.
Wakubwa hao...Alipaweza Ila kuna zile Sheli za Wakubwa zimejengwa na bado zinajengwa katikati ya maeneo ya Watu hilo ameshindwa
Unafikiri watu wote tuko Tanzania? Kuna sehemu ndio kunakuchaUzi ufungwe sasa ili tukalale.