Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM ina makundi ya Wazi, we don't know Mwigulu yuko wapi.

Haya Makundi yakiungana dhidi ya Samia hatoboi, ndio maana anaenda taratibu
Sio Rais kushindana na Rais hapa Tanzania,Ili ushindane nae uwe na watu kwenye system (TISS) kinyume chake ni kujifariji tuu.

Angalia kwenye uteuzi hapo ameondoa waofisa wengine waliokuwepo ikulu.
 
Hii ni calculated move na watazamaji tunavurugwa kabla ya movie kufikia katikati. Hii inaonesha aliyetoa maneno yasiyofaa hadharani, hakuyatoa kwa bahati mbaya .

Kazi kwenu kujua kama ni fukuto chamani au ni hatua tu kwenye mpango mkubwa

Hata hivyo acha wafu wazikane
 
Sio Rais kushindana na Rais hapa Tanzania,Ili ushindane nae uwe na watu kwenye system (TISS) kinyume chake ni kujifariji tuu.

Angalia kwenye uteuzi hapo ameondoa waofisa wengine waliokuwepo ikulu.
Hawezi kuwamaliza.

Samia was always a chawa wa hao watu wazito.

Samia anatakiwa Ashirikiane na watu wa Magufuli wana ujasiri and strong
 
Back
Top Bottom