Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa britanicca . Jamaa huyu siyo wa kawaida, huwa hakosei.Kuna mwamba humu alitabiri haya mabadiliko 🫡🫡
Hakika huyu ndugu si wa mizani sawa na wengi wetu.
Wala hato anguka, hap jamaa walikuwa na plan zao agaist mama mwenyewe, kama wanavyosema waswahili siku za mwizi ni 40Mama anaandaa anguko lake mapema. Anawaondoa wenye chama na magwiji wa fitina??
Yaani! Ni kati ya 150-160 kwa sasa!Many people are here
Pdf inakukuta ukiwa tungi 🍻Anapenda kuteua na kutengua siku za weekend usiku
Itabidi nikufolo ili usinisahau kwenye ufalme wako😅😅Yametimia nilisema mama akimaliza ziara kuna viumbe wawili watafurushwa, Kumbe aliyenambia hakunidanganya 😂😂😂
Watu walikuwa na taarifa tayariHii ni calculated move na watazamaji tunavurugwa kabla ya movie kufikia katikati. Hii inaonesha aliyetoa maneno yasiyofaa hadharani, hakuyatoa kwa bahati mbaya .
Kazi kwenu kujua kama ni fukuto chamani au ni hatua tu kwenye mpango mkubwa
Hata hivyo acha wafu wazikane
Kaliamsha dude. Huwa hawajui hawa vijanaSamia ametangaza vita...
Kwa sasa hatutamsikia kigogo...atakuja kivingine
Wanapokezana vijiti tuCCM ni ile ile tu, hapo watu wanapishana tu siti za daladala...
Hatimae raraa reree leo ameongeaWatu walikuwa na taarifa tayari